Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Alkhamisi tarehe 7 Novemba 2019

    Alkhamisi tarehe 7 Novemba 2019

    Nov 06, 2019 21:41

    Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Rabiul Awwal 1441 Hijria sawa na tarehe 7 Novemba 2019.

  • Qatar yasisitiza uungaji mkono wake kwa Wapalestina hadi wapate haki zao za kisheria

    Qatar yasisitiza uungaji mkono wake kwa Wapalestina hadi wapate haki zao za kisheria

    Nov 06, 2019 12:26

    Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani amesema: Amani katika Mashariki ya Kati (Magharibi ya Asia) itapatikana pale tu taifa la Palestina litakaporejeshewa haki zake za kisheria.

  • Mjumbe wa UN apongeza misimamo ya Hamas kuhusu uchaguzi

    Mjumbe wa UN apongeza misimamo ya Hamas kuhusu uchaguzi

    Nov 05, 2019 11:00

    Mratibu Maalumu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya Mashariki ya Kati amepongeza misimamo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kuhusu suala la kuitishwa uchaguzi mkuu huko Palestina.

  • Twitter yafunga kurasa za Hizbullah na shirika la habari la Quds

    Twitter yafunga kurasa za Hizbullah na shirika la habari la Quds

    Nov 03, 2019 04:45

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya shirika la mtandao wa kijamii wa Twitter la Marekani ya kufuta kurasa zenye mfungamano na harakati hiyo kwenye mtandao huo.

  • Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza

    Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza

    Nov 02, 2019 08:55

    Mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel yamepelekea kuuawa shahidi raia mmoja wa Palestina na kujeruhiwa wengine wawili.

  • Wanajeshi wa Kizayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina

    Wanajeshi wa Kizayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina

    Oct 30, 2019 04:16

    Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni kwa mara ya 165 wameendelea kubomoa kijiji cha al Araqeeb kinachokaliwa na jamii ya Mabedui katika eneo la Naqab linalokaliwa kwa mabavu.

  • Jumamosi, 26, Oktoba 2019

    Jumamosi, 26, Oktoba 2019

    Oct 25, 2019 23:10

    Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Tano Safar 1441 Hijria mwafaka na tarehe 26 Oktoba 2019 Miladia.

  • Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa

    Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa

    Oct 24, 2019 23:20

    Zaidi ya taasisi na jumuiya 40 za Kipalestina na kimataifa zimeanzisha harakati ya kupinga mateso na unyanyasaji unaofanywa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na korokoro za utawala huo.

  • Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

    Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

    Oct 21, 2019 08:57

    Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain

    HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain

    Oct 20, 2019 23:09

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS