Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Jihadul-Islami: Muqawama umesambaratisha njama za utawala wa Kizayuni

    Jihadul-Islami: Muqawama umesambaratisha njama za utawala wa Kizayuni

    Oct 19, 2019 23:04

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina amesema kuwa, muqawama umesambaratisha njama za utawala vamizi wa Kizayuni.

  • Alkhamisi tarehe 17 Oktoba mwaka 2019

    Alkhamisi tarehe 17 Oktoba mwaka 2019

    Oct 16, 2019 22:08

    Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 17 mwaka 2019.

  • Larijani: Suala la Palestina limepuuzwa kutokana na hali ya mchafukoge katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Larijani: Suala la Palestina limepuuzwa kutokana na hali ya mchafukoge katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 15, 2019 04:15

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, suala la Palestina linapuuzwa kutokana na hali ya mchafukoge inayoshuhudiwa katika Ulimwengu wa Kiislamu na akasisitiza kuwa: Umoja wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu unapaswa kuwa sauti ya wazi ya kuisemea Palestina.

  • Wapalestina walaani mashambulizi ya Uturuki nchini Syria

    Wapalestina walaani mashambulizi ya Uturuki nchini Syria

    Oct 12, 2019 01:23

    Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina sambamba na kutoa taarifa ya kulaani uvamizi wa kijeshi wa Uturuki dhidi ya ardhi ya Syria kwa kuutaja kuwa uliokiuka haki ya kujitawala na uhuru wa nchi hiyo ya Kiarabu, imesisitiza kuwa mashambulizi hayo ni uingiliaji wa wazi wa Ankara katika masuala ya ndani ya Syria.

  • Palestina yatoa taarifa kulaani mashambulizi dhidi ya hospitali za Quds

    Palestina yatoa taarifa kulaani mashambulizi dhidi ya hospitali za Quds

    Oct 08, 2019 01:10

    Waziri wa Afya wa Palestina amelaani hatua ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni ya kuvamia hospitali katika mji wa Quds.

  • Mkutano wa Tatu wa Mshikamamo na Vijana wa Palestina wafanyika Tehran

    Mkutano wa Tatu wa Mshikamamo na Vijana wa Palestina wafanyika Tehran

    Oct 03, 2019 10:11

    Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na Vijana wa Palestina kwa ajili ya kumkumbuka shahidi Muhammad al Durrah umefanyika hapa Tehran.

  • Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Sep 29, 2019 09:49

    Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Makundi ya Palestina katika njia ya umoja

    Makundi ya Palestina katika njia ya umoja

    Sep 29, 2019 08:36

    Katika siku za hivi karibuni pamewasilishwa mpango wa kiubunifu wa makundi ya Palestina kwa ajili ya kufikiwa maridhiano na umoja wa kitaifa, ambao pia umepokelewa na makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (HAMAS).

  • Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Sep 26, 2019 00:44

    Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.

  • Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina

    Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina

    Sep 17, 2019 06:02

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki amesema kuwa, matamshi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuhusiana na kutaka kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi nyingine zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ya kijeuri na kifidhuli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS