-
Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel
Nov 14, 2019 21:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.
-
Ijumaa tarehe 15 Novemba 2019
Nov 14, 2019 21:52Leo ni Ijumaa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal mwaka 1441 Hijria sawa na Novemba 15 mwaka 2019.
-
Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu
Nov 14, 2019 07:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.
-
Guterres aitaka Israel ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu huko Palestina
Nov 14, 2019 06:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya raia wa Palestina.
-
Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao
Nov 14, 2019 04:33Baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukubali masharti ya wanamuqawama wa Palestina, makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Jihadul-Islami yamekubali pendekezo la Misri kwa ajili ya kusimamisha vita.
-
Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni
Nov 13, 2019 04:39Wanamuqawama wa tawi la Al-Quds la Harakati ya Jihadul-Islami la Palestina, wameshambulia kwa kombora mkusanyiko wa askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo la mashariki mwa Rafah.
-
Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu jeshini Israel yaongezeka
Nov 09, 2019 04:22Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu ndani ya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni Israel, imezidi kuongezeka huku suala la matatizo ya kisaikolojia likitajwa kuwa ndio sababu.
-
Alkhamisi tarehe 7 Novemba 2019
Nov 06, 2019 21:41Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Rabiul Awwal 1441 Hijria sawa na tarehe 7 Novemba 2019.
-
Qatar yasisitiza uungaji mkono wake kwa Wapalestina hadi wapate haki zao za kisheria
Nov 06, 2019 12:26Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani amesema: Amani katika Mashariki ya Kati (Magharibi ya Asia) itapatikana pale tu taifa la Palestina litakaporejeshewa haki zake za kisheria.
-
Mjumbe wa UN apongeza misimamo ya Hamas kuhusu uchaguzi
Nov 05, 2019 11:00Mratibu Maalumu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika kanda ya Mashariki ya Kati amepongeza misimamo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kuhusu suala la kuitishwa uchaguzi mkuu huko Palestina.