-
Twitter yafunga kurasa za Hizbullah na shirika la habari la Quds
Nov 03, 2019 04:45Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya shirika la mtandao wa kijamii wa Twitter la Marekani ya kufuta kurasa zenye mfungamano na harakati hiyo kwenye mtandao huo.
-
Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza
Nov 02, 2019 08:55Mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel yamepelekea kuuawa shahidi raia mmoja wa Palestina na kujeruhiwa wengine wawili.
-
Wanajeshi wa Kizayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina
Oct 30, 2019 04:16Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni kwa mara ya 165 wameendelea kubomoa kijiji cha al Araqeeb kinachokaliwa na jamii ya Mabedui katika eneo la Naqab linalokaliwa kwa mabavu.
-
Jumamosi, 26, Oktoba 2019
Oct 25, 2019 23:10Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Tano Safar 1441 Hijria mwafaka na tarehe 26 Oktoba 2019 Miladia.
-
Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa
Oct 24, 2019 23:20Zaidi ya taasisi na jumuiya 40 za Kipalestina na kimataifa zimeanzisha harakati ya kupinga mateso na unyanyasaji unaofanywa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na korokoro za utawala huo.
-
Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Oct 21, 2019 08:57Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain
Oct 20, 2019 23:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.
-
Jihadul-Islami: Muqawama umesambaratisha njama za utawala wa Kizayuni
Oct 19, 2019 23:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina amesema kuwa, muqawama umesambaratisha njama za utawala vamizi wa Kizayuni.
-
Alkhamisi tarehe 17 Oktoba mwaka 2019
Oct 16, 2019 22:08Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 17 mwaka 2019.
-
Larijani: Suala la Palestina limepuuzwa kutokana na hali ya mchafukoge katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 15, 2019 04:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, suala la Palestina linapuuzwa kutokana na hali ya mchafukoge inayoshuhudiwa katika Ulimwengu wa Kiislamu na akasisitiza kuwa: Umoja wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu unapaswa kuwa sauti ya wazi ya kuisemea Palestina.