-
Wapalestina walaani mashambulizi ya Uturuki nchini Syria
Oct 12, 2019 01:23Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina sambamba na kutoa taarifa ya kulaani uvamizi wa kijeshi wa Uturuki dhidi ya ardhi ya Syria kwa kuutaja kuwa uliokiuka haki ya kujitawala na uhuru wa nchi hiyo ya Kiarabu, imesisitiza kuwa mashambulizi hayo ni uingiliaji wa wazi wa Ankara katika masuala ya ndani ya Syria.
-
Palestina yatoa taarifa kulaani mashambulizi dhidi ya hospitali za Quds
Oct 08, 2019 01:10Waziri wa Afya wa Palestina amelaani hatua ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni ya kuvamia hospitali katika mji wa Quds.
-
Mkutano wa Tatu wa Mshikamamo na Vijana wa Palestina wafanyika Tehran
Oct 03, 2019 10:11Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na Vijana wa Palestina kwa ajili ya kumkumbuka shahidi Muhammad al Durrah umefanyika hapa Tehran.
-
Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 29, 2019 09:49Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Makundi ya Palestina katika njia ya umoja
Sep 29, 2019 08:36Katika siku za hivi karibuni pamewasilishwa mpango wa kiubunifu wa makundi ya Palestina kwa ajili ya kufikiwa maridhiano na umoja wa kitaifa, ambao pia umepokelewa na makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (HAMAS).
-
Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina
Sep 26, 2019 00:44Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina
Sep 17, 2019 06:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki amesema kuwa, matamshi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuhusiana na kutaka kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi nyingine zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ya kijeuri na kifidhuli.
-
Mwanachama mwingine mwandamizi wa HAMAS amewekwa kizuizini nchini Saudi Arabia
Sep 17, 2019 03:42Duru za Palestina zimetangaza kuwa mwanachama mwingine mwandamizi na muhimu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amekamatwa na kuwekwa kizuizini nchini Saudi Arabia.
-
Iran: Uchu wa madaraka wa 'Hitler mdogo' chachu ya kuangamizwa mapema Israel
Sep 15, 2019 03:19Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amemtaja Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, kama 'Hitler mdogo' na kusisitiza kuwa uchu wa madaraka wa Benjamin Netanyahu utakuwa mwanzo wa kuporomoka na kusambaratika utawala huo haramu.
-
Wanamuqawama wa Palestina watungua drone ya Israel Ukanda wa Gaza
Sep 14, 2019 23:06Vikosi vya muqawama vya Palestina vimefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.