-
Gazeti la al Manar la Palestina: Israel imetuma madaktari kumtibu bin Salman
May 28, 2018 21:06Gazeti la al Manar linalochapishwa Baytul Muqaddas huko Palestina limeandika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetuma timu maalumu ya madaktari mjini Riyadh Saudi Arabia kwenda kusimamia matibabu ya mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman aliyejeruhiwa vibaya kwa risasi.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu Ulaya wawaunga mkono mashahidi wa Palestina
May 28, 2018 10:29Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Brussels Ubelgiji wameweka pea 4500 za viatu mbele ya jengo la Baraza la Umoja wa Ulaya ikiwa ni katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wanaouliwa shahidi kila leo na wanajeshi katili wa Israel.
-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Palestina imeanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Sham!
May 28, 2018 07:06Palestina ni suala kuu na la kwanza la Ulimwengu wa Kiislamu; na kufanyika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kunatilia mkazo suala hilo muhimu na la kihistoria.
-
Kifaru cha Israel chaua shahidi Wapalestina 3 Gaza
May 27, 2018 09:13Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi kufuatia shambulizi la kifaru cha utawala wa Kizayuni wa Israel mashariki mwa mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 26, 2018 22:02Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni siku ya kupazwa duniani sauti ya kudhulumiwa taifa la Palestina na kuchukizwa ulimwengu na utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo, inawadia.
-
Wazayuni waendelea kuwaua shahidi na kuwajeruhi Wapalestina
May 26, 2018 03:18Kijana mmoja wa Palestina ameuawa shahidi huku watu wengine 109 wakijeruhiwa katika maandamano ya 'Haki ya Kurejea' yaliyofanyika jana Ijumaa katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yakasirishwa na hatua ya UN kuiruhusu Palestina ijiunge na taasisi zake
May 24, 2018 09:59Marekani imeonesha kughadhibishwa na hata kutishia kuupunguzia ufadhili Umoja wa Mataifa kutokana na UN kuiruhusu Palestina ijunge na taasisi zake.
-
Wapalestina waitaka ICC ichunguze ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel
May 22, 2018 09:12Palestina imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ianzishe uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel hususan harakati za utawala huo za kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds
May 20, 2018 22:03Walowezi zaidi ya 300 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumatatu, Mei 21, 2018
May 20, 2018 21:59Leo ni Jumatatu, tarehe 5 Ramadhani, mwaka 1439 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 21 Mei mwaka 2018 Miladia, na sanjari na tarehe 31 Ordibehesht mwaka 1397 Hijria Shamsia.