Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • AU yaungana na dunia kulaani mauaji ya umati yaliyofanywa na Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    AU yaungana na dunia kulaani mauaji ya umati yaliyofanywa na Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    May 15, 2018 09:20

    Umoja wa Afrika umelaani vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na utawala katili wa Kizayuni dhidi ya raia madhlum wa Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Maandamano ya Wapalestina katika mpaka wa Gaza yataendelea

    HAMAS: Maandamano ya Wapalestina katika mpaka wa Gaza yataendelea

    May 15, 2018 03:32

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa maandamano ya amani ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Gaza ya kupinga ubalozi wa Marekani Tel Aviv kuhamishiwa Baitul Muqaddas yataendelea.

  • Kuzidi kulaaniwa Israel vamizi, upeo mpya kwa Palestina

    Kuzidi kulaaniwa Israel vamizi, upeo mpya kwa Palestina

    May 14, 2018 02:13

    Wapenda haki duniani leo (Jumatatu) wameamua kufanya maandamano katika nchi 46 ulimwenguni ili kuilaani Israel suala ambalo limewafanya wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni washadidishe ulinzi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Ghaza.

  • Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US

    Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US

    May 13, 2018 03:16

    Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.

  • Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds

    May 12, 2018 02:54

    Maelfu ya watu wameshiriki maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.

  • Kuchukua wigo mpana zaidi malalamiko ya Wapalestina dhidi ya njama za Trump huko Beitul-Muqaddas

    Kuchukua wigo mpana zaidi malalamiko ya Wapalestina dhidi ya njama za Trump huko Beitul-Muqaddas

    May 10, 2018 07:21

    Ripoti mbalimbali kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kushadidi upinzani na malalamiko ya vyama na makundi mbalimbali ya Kipalestina dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mji wa Beitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Leo ni Jumanne tarehe 8 Mei, 2018

    Leo ni Jumanne tarehe 8 Mei, 2018

    May 07, 2018 21:48

    Leo ni Jumanne tarehe 21 Shaabani 1439 Hijria sawa na Mei 8, 2018.

  • Utawala wa Kizayuni, tokea kudumisha jinai hadi kusitisha mpango wa uanachama katika Baraza la Usalama

    Utawala wa Kizayuni, tokea kudumisha jinai hadi kusitisha mpango wa uanachama katika Baraza la Usalama

    May 07, 2018 02:15

    Utawala wa Kizayuni wa Israel Ijumaa iliyopita ulilegeza kamba na kutupilia mbali mpango wake wa kuchuana na nchi mbili za Ulaya kuwania uanachama usio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sambamba na uamuzi huo, utawala wa Kizayuni umeendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    May 06, 2018 02:55

    Wapalestina wasiopungua sita wanachama wa harakakati ya muqawama ya Palestina Hamas wameuawa katika mripuko wa bomu ulioukumba Ukanda wa Gaza jana Jumamosi.

  • Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel

    Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel

    May 03, 2018 23:38

    Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kuwa zitashiriki katika mashindano ya pikipiki yaliyoitishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoanza leo Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS