-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelea mapambano anuia dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 02, 2017 04:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili wa Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akisistiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
-
Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli
Oct 28, 2017 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio umehusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya afisa wa ngazi ya juu wa harakati hiyo.
-
Naibu Spika wa Palestina: Uingiliaji wa Kamati ya Kimataifa katika maridhiano ya kitaifa ni wa "kutupiliwa mbali".
Oct 27, 2017 23:08Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesema, uingiliaji wa Kamati ya Kimataifa ya pande nne ya amani katika maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina haukubaliki na kwamba wito wa kamati hiyo na utawala wa Kizayuni wa kutaka Hamas ipokonywe silaha ni wa "kutupiliwa mbali".
-
Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio "Hatari Kuu"
Oct 26, 2017 11:46Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amezitaka nchi na pande zote za eneo la Mashariki ya Kati zikubaliane na fikra kwamba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio "Hatari Kuu".
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Oct 22, 2017 11:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.
-
Abu Zuhri: Kinachoipambanua Iran na nchi nyingine, ni uungaji mkono wake wa wazi kwa taifa la Palestina
Oct 22, 2017 04:08Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, jambo liloipambanua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine ni uungaji mkono wake wa wazi kwa malengo matukufu ya Palestina.
-
Hamas: Hakuna wa kutushurutisha tuvunje jeshi letu au tuitambue Israel
Oct 20, 2017 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuishurutisha harakati hiyo ya muqawama kuvunja tawi lake la kijeshi au kuutambua utawala haramu wa Israel kama masharti ya kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina.
-
Wapalestina: Uingereza iliombe radhi taifa la Palestina kwa Azimio la Balfour
Oct 19, 2017 12:44Wakati serikali ya Uingereza inatazamiwa kusherehekea maadhimisho ya miaka 100 tangu kutolewa Azimio la Balfour, makundi ya Kipalestina yamesisitizia ulazima wa serikali ya London kuliomba radhi taifa la Palestina kwa sababu ya kutoa azimio hilo.
-
Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video
Oct 19, 2017 04:08Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.
-
Radiamali ya Wapalestina kwa njama za Israel za kukwamisha maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Oct 19, 2017 00:30Habari kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kuendelea njama na ukwamishaji mambo wa Israel katika njia ya mwenendo wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina.