Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Wajibu wa kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Wajibu wa kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 26, 2017 09:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo amehutubia Baraza la Iddil Fitri lililowakutanisha pamoja viongozi, matabaka mbalimbali ya wananchi na mabalozi wa nchi za Kiislamu mjini Tehran na akisisitiza kuwa kupuuza na kulisahaulisha suala la Palestina ni hatari kubwa.

  • Hali ya Palestina katika Siku ya Kimataifa ya Quds

    Hali ya Palestina katika Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 23, 2017 03:21

    Leo tarehe 23 Juni inayosadifiana na Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambayo ilitangazwa na mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayati Imam Ruhullah Khomeini kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.

  • Kesho  Ijumaa ni Siku ya Kimataifa ya Quds

    Kesho Ijumaa ni Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 21, 2017 23:51

    Mamilioni ya wapenda haki kote duniani kesho watajitokeza katika pembe mbalimbali za ulimwengu kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yenye lengo la kutangaza himaya na uungaji mkono kwa taifa madhulumu la Palestina.

  • Kiongozi: Kupambana na utawala wa Kizayuni ni kupambana na ubeberu na uistikbari

    Kiongozi: Kupambana na utawala wa Kizayuni ni kupambana na ubeberu na uistikbari

    Jun 21, 2017 23:06

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa yenye umuhimu mkubwa na kuongeza kuwa: "Siku hii mbali na kuwa ni siku ya kuunga mkono taifa lililodhulumiwa pia ni nembo ya kupambana na uistikbari na ubeberu duniani."

  • Waislamu kote duniani watakiwa kushiriki kwa wingi Siku ya Kimataifa ya Quds

    Waislamu kote duniani watakiwa kushiriki kwa wingi Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 20, 2017 03:31

    Mjumbe wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina mjini Tehran ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kushiriki kwa wingi katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa ijayo.

  • Israel yatengua haki ya Wapalestina kutembeleana Ramadhani

    Israel yatengua haki ya Wapalestina kutembeleana Ramadhani

    Jun 18, 2017 09:51

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza kubatilisha 'haki' ya Wapalestina kutembeleana katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kufuatia mauaji ya mwanajeshi wa kike wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Jihad Islami: Baadhi ya Waarabu wanafanya njama dhidi ya Quds tukufu

    Jihad Islami: Baadhi ya Waarabu wanafanya njama dhidi ya Quds tukufu

    Jun 15, 2017 23:53

    Msemaji wa harakati ya Jihad Islamu ya Palestina amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Qud mwaka huu inaadhimishwa huku mji huo mtukufu ukiwa katika hali mbaya sana na baadhi ya nchi za Kiarabu zikifanya njama dhidi ya eneo hilo.

  • UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina  Ghaza

    UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina Ghaza

    Jun 15, 2017 02:55

    Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuwazimia kwa muda mrefu umeme Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    Jun 13, 2017 09:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuunga mkono shirika la umoja huo linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutoa wito wa kuvunjwa taasisi hiyo ya kimataifa.

  • Jumanne 13 Juni, 2017

    Jumanne 13 Juni, 2017

    Jun 12, 2017 21:53

    Leo ni Jumanne tarehe 18 Ramadhani 1438 Hijiria sawa na tarehe 13 Juni 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS