-
Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea
Jul 26, 2017 09:14Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.
-
UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina
Jul 26, 2017 05:40Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim (as) katika orodha ya turathi za kimataifa zinazokabiliwa na hatari ya kutoweka na limelaani vikali hatua za utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.
-
Jumanne tarehe 25 Julai, 2017
Jul 24, 2017 22:31Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhilqaada 1438 Hijria sawa na Julai 25, 2017.
-
Jumatatu, 24 Julai, 2017
Jul 23, 2017 22:33Leo ni Jumatatu tarehe 29 Shawwal 1438 Hijria, sawa na 24 Julai, 2017.
-
Qassemi: Palestina bado ni kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 23, 2017 09:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kuendelea ukandamizaji mkubwa na kukiukwa haki za raia wa Palestina katika kufikia maeneo matukufu huko Quds Tukufu kunaonyesha kuwa Palestina iliyodhulumika ingali kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
António Guterres: Israel ijiepushe kufanya ukatili huko Quds
Jul 23, 2017 02:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili na hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwazuia Wapalestina kutekeleza ibada ya Swala ndani ya Msikiti wa al Aqsa.
-
HAMAS: Tunajiandaa kwa mapambano ya kuzikomboa ardhi zote za Palestina
Jul 22, 2017 22:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ametangaza kuwa, harakati hiyo inajiandaa kwa ajili ya mapambano ya kuzikomboa ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa, mwanzo wa Intifadha mpya Palestina
Jul 22, 2017 03:29Msemaji wa Brigedi ya Ezzedin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Hamas amesema hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti wa al Aqsa ni mwanzo wa mwamko mwingine (Intifadha) wa Wapalestina.
-
Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa
Jul 16, 2017 10:41Kundi la Wapalestina na wawakilishi wa makundi ya Palestina leo Jumapili wamefanya maandamano kulaani jinai za mara kwa mara zinazofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Iran yalaani utawala wa Kizayuni kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa
Jul 16, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa na kuzuia sala ya Ijumaa msikitini hapo na kuonya kuwa, hatua hizo zitakuwa na matokeo hatari sana.