Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Wosia wa Bushnell: Majivu ya mabaki yangu yamiminwe Palestina

    Wosia wa Bushnell: Majivu ya mabaki yangu yamiminwe Palestina

    Mar 02, 2024 08:19

    Aaron Bushnell, afisa wa Jeshi la Anga la Marekani, ambaye alifariki dunia hivi karibuni baada ya kujichoma moto akipinga uungaji mkono wa nchi yake kwa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, aliandika katika wosia wake kuwa majivu ya mabaki ya mwili wake yamiminwe katika ardhi ya taifa huru la Palestina.

  • Israel yapuuza malalamiko ya dunia, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina

    Israel yapuuza malalamiko ya dunia, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina

    Mar 02, 2024 08:19

    Kwa akali Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga nyumba tatu za Wapalestina katika maeneo ya Deir el-Balah na Jabalia katika Ukanda wa Gaza.

  • Baada ya mazungumzo ya Moscow, mirengo ya Palestina yaapa kuungana pamoja dhidi ya Israel

    Baada ya mazungumzo ya Moscow, mirengo ya Palestina yaapa kuungana pamoja dhidi ya Israel

    Mar 01, 2024 23:37

    Makundi ya Palestina ikiwemo Hamas na Fat-h yamesema yatafuata "umoja wa kivitendo" katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya wawakilishi wao kukutana katika mazungumzo yaliyoandaliwa na Russia mjini Moscow.

  • Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza

    Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza

    Mar 01, 2024 03:37

    Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya Gaza na kusema, Wazayuni hawajawahi kukabiliwa na vita kama hivyo kwa muda wa miaka 75 iliyopita.

  • Israel yaua Wapalestina zaidi ya 100 waliokuwa wakisubiri misaada Gaza

    Israel yaua Wapalestina zaidi ya 100 waliokuwa wakisubiri misaada Gaza

    Feb 29, 2024 23:29

    Wizara ya Afya ya Palestina jana ilitangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi watu wasiopungua 104 waliokuwa katika umati uliokuwa ukisubiri kupatiwa misaada ya kibinadamu huko kusini mwa Gaza.

  • Haniyeh awataka Wapalestina kuandamana kwenye Msikiti wa Al-Aqsa siku ya 1 ya Ramadhani

    Haniyeh awataka Wapalestina kuandamana kwenye Msikiti wa Al-Aqsa siku ya 1 ya Ramadhani

    Feb 29, 2024 08:37

    Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewataka Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel kuandamana hadi Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Feb 28, 2024 08:12

    Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu

    Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu

    Feb 28, 2024 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na 'janga la kibinadamu' wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.

  • Maduro akosoa jinai za kikoloni za Israel dhidi ya Palestina

    Maduro akosoa jinai za kikoloni za Israel dhidi ya Palestina

    Feb 28, 2024 03:16

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema jinai na mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni ishara ya wazi kuwa utawala wa Kizayuni unaendeleza malengo ya kikoloni dhidi ya Palestina.

  • HAMAS: Historia katu haitasahau hatua za fedheha za Biden

    HAMAS: Historia katu haitasahau hatua za fedheha za Biden

    Feb 27, 2024 03:57

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema historia kamwe haiwezi kufuta hatua ya kufedhehesha ya utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani ya kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mauaji yake ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS