-
WHO yaonya kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu Gaza
Jan 03, 2024 23:40Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani shambulio la bomu katika kituo cha Hilali Nyekundu cha Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hatua hiyo kwamba, iikko kkinyume na dhamiri na takkwa la kulinda vituo vya matibabu katika ukanda huo.
-
Nchi za Kiarabu na Kiislamu zatakiwa kuunga mkono mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Jan 03, 2024 03:40Gazeti moja la Misri limezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu kuunga mkono mashtaka ya serikali ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague.
-
HAMAS: Muqawama utaipa Israel funzo lisilosahaulika kwa ukatili inaowafanyia Wapalestina
Jan 02, 2024 10:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kifo cha mateka mwengine wa Kipalestina aliyeuliwa kwenye kituo cha mahabusu cha utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuahidi kuupa utawala huo funzo lisilosahaulika kutokana na ukatili wake unaoendelea kuwafanyia Wapalestina.
-
Vita vya Gaza vyazuia wanafunzi elfu 600 wa Kipalestina kupata elimu
Jan 02, 2024 04:05Mamlaka ya Palestina imetangaza kwamba kuendelea mapigano huko Gaza, kutazuia zaidi ya wanafunzi 600,000 wa Kipalestina kupata elimu.
-
Iran yaipongeza Ansarullah ya Yemen kwa kuiunga mkono Palestina
Jan 02, 2024 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameisifu na kuipongeza Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwa kuwa na msimamo madhubuti katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Jihadul Islami: Pendekezo la Israel limefichua lengo la vita dhidi ya Gaza
Jan 02, 2024 03:33Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali mpango wa Israel wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi nyingine na kusisitiza kuwa, pendekezo hilo limeweka bayana kuwa utawala huo haramu unaendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo la pwani lililozingirwa.
-
Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel
Jan 01, 2024 23:19Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.
-
Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi
Jan 01, 2024 08:25Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamekusanyika nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Istanbul katika maandamano ya kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaoendelea kukabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Israel.
-
Jumatatu, tarehe Mosi Januari, 2024
Dec 31, 2023 22:55Leo ni Jumatatu tarehe 18 Jamadithani 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Januari 2024.
-
Maandamano ya waungaji mkono wa Palestina mbele ya Jengo la Biashara la Kimataifa la Marekani
Dec 31, 2023 04:39Waungaji mkono wa wananchi madhulumu wa Palestina wamekusanyika mbele ya Jengo la Biashara la Kimataifa la Marekani wakipinga siasa za serikali ya Marekani za kutoa himaya kwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.