Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Ansarullah: Vikosi vya Yemen vina 'hamu' ya kukabiliana na US Bahari Nyekundu

    Ansarullah: Vikosi vya Yemen vina 'hamu' ya kukabiliana na US Bahari Nyekundu

    Dec 30, 2023 06:55

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vipo tayari kuingia katika makabiliano ya kijeshi na Marekani iwapo hali ya taharuki itashtadi katika Bahari Nyekundu.

  • UNICEF: Idadi ya watoto Wapalestina waliouliwa na Israel Ukingo wa Magharibi pia haijawahi kushuhudiwa

    UNICEF: Idadi ya watoto Wapalestina waliouliwa na Israel Ukingo wa Magharibi pia haijawahi kushuhudiwa

    Dec 29, 2023 05:57

    Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini amesema, idadi ya watoto Wapalestina waliouliwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mwaka huu huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Baitul Muqaddas Mashariki ni kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa kila mwaka katika eneo hilo.

  • Jihadul Islami yaiambia Israel: Subirini jibu letu kwa mauaji ya mshauri wa IRGC

    Jihadul Islami yaiambia Israel: Subirini jibu letu kwa mauaji ya mshauri wa IRGC

    Dec 26, 2023 23:24

    Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina sanjari na kulaani mauaji ya Kamanda Sayyid Razi Mousavi, aliyekuwa mshauri wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni unapasa kusubiri jibu kali na zito kwa kitendo chake hicho cha kioga.

  • Maelfu washiriki kwenye maandamano ya Morocco ya kuunga mkono Palestina

    Maelfu washiriki kwenye maandamano ya Morocco ya kuunga mkono Palestina

    Dec 25, 2023 03:00

    Maelfu ya watu nchini Morocco wamefanya mojawapo ya maandamano makubwa zaidi ya kuunga mkono Palestina mjini Rabat, tangu kuzuka kwa vita vya Gaza, wakati wakiitisha kuvunjwa kwa mahusiano kati ya taifa lao na Israel.

  • Ebrahim Raisi: Wanaodai kuwa wafuasi wa Nabii Issa (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto

    Ebrahim Raisi: Wanaodai kuwa wafuasi wa Nabii Issa (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto

    Dec 25, 2023 00:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.

  • Mwakilishi wa Jihadul Islami: Iran ni muungaji mkono pekee wa wananchi wa Gaza na wanaodhulumiwa duniani

    Mwakilishi wa Jihadul Islami: Iran ni muungaji mkono pekee wa wananchi wa Gaza na wanaodhulumiwa duniani

    Dec 24, 2023 23:12

    Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina nchini Iran amekosoa kimya cha nchi za Magharibi mkabala wa vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono pekee wa wanaodhulumiwa duniani.

  • Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US

    Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US

    Dec 22, 2023 22:57

    Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain cha al-Wefaq kimesema hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu ni kusaliti kadhia ya Palestina.

  • Msaada wa Marekani kwa Israel watajwa kuwa sababu kuu ya jinai dhidi ya Wapalestina

    Msaada wa Marekani kwa Israel watajwa kuwa sababu kuu ya jinai dhidi ya Wapalestina

    Dec 22, 2023 04:37

    Washiriki katika mkutano wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (PUIC) wamesisitiza kuwa misaada na uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ndio sababu kuu ya kuendelea jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Human Rights Watch: Meta inazuia sauti zinazowatetea Wapalestina kwenye Instagram na Facebook

    Human Rights Watch: Meta inazuia sauti zinazowatetea Wapalestina kwenye Instagram na Facebook

    Dec 21, 2023 23:36

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa sera za kamupini ya Meta zimezidi kuziba na kunyamazisha sauti zinazoiunga mkono Palestina kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram na Facebook kutokana na vita vya Israel dhidi ya Gaza.

  • Hizbullah yauvurumishia maroketi mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel karibu na Lebanon

    Hizbullah yauvurumishia maroketi mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel karibu na Lebanon

    Dec 21, 2023 07:53

    Wanamuqawama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon wameendeleza mashambulizi yao dhidi ya maeneo ya Israel, na mara hii wameuvurumishia maroketi mji wa kaskazini unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel karibu na mpaka wa Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS