Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Rais wa Afrika Kusini aitaka mahakama ya ICC ichunguze haraka jinai za kivita za Israel

    Rais wa Afrika Kusini aitaka mahakama ya ICC ichunguze haraka jinai za kivita za Israel

    Dec 19, 2023 23:58

    Rais wa Afrika Kusini ameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake huko Hague Uholanzi ichunguze haraka iwezekanavyo jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza.

  • Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia

    Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia

    Dec 18, 2023 06:49

    Wapalestina zaidi ya 100 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.

  • Wanajeshi 20 wa jeshi la kigaidi la Israel waangamizwa al-Shujaiya Gaza

    Wanajeshi 20 wa jeshi la kigaidi la Israel waangamizwa al-Shujaiya Gaza

    Dec 16, 2023 08:42

    Jeshl la kigaidi la Israel limekiri kuwa, wanajeshi wake 20 wameuawa katika kipindi cha wiki moja iliyopita katika mapigano kati yao na vikosi vya muqawama wa Palestina katika eneo la al-Shujaiya katika Ukanda wa Gaza.

  • Maspika wa mabunge ya Iran na Algeria wasisitiza kusitishwa jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza

    Maspika wa mabunge ya Iran na Algeria wasisitiza kusitishwa jinai za Wazayuni Ukanda wa Gaza

    Dec 14, 2023 23:28

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ametangaza utayarifu wa Bunge la Iran kufanya kikao cha dharura cha Kamati ya Kudumu ya Palestina katika ngazi ya maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu kwa ajili ya kuchunguza njia za kivitendo za kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.

  • Mwanakriketi wa Australia: 'Nitapambana' na uamuzi wa kunizuia nisivae viatu vya kuonyesha mshikamano na Palestina

    Mwanakriketi wa Australia: 'Nitapambana' na uamuzi wa kunizuia nisivae viatu vya kuonyesha mshikamano na Palestina

    Dec 14, 2023 03:32

    Mchezaji wa kriketi wa Australia Usman Khawaja ameahidi "kupambana" na uamuzi wa bodi ya usimamizi wa mchezo huo ambayo anasema imemzuia kuonyesha ujumbe wa kuunga mkono "wale ambao hawana sauti".

  • Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Dec 13, 2023 07:46

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kundi hilo la muqawama wa Kiislamu litaendelea kufanya mashambulizi ya ulipizaji kisasi dhidi ya Israel, madhali utawala huo wa Kizayuni unaendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wacanada waandamana wakimtaka Trudeau aache kuiuzia Israel silaha

    Wacanada waandamana wakimtaka Trudeau aache kuiuzia Israel silaha

    Dec 13, 2023 07:45

    Waungaji mkono wa Palestina wanaoishi nchini Canada wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, ambapo mbali na kuonyesha mshikamano wao na wakazi wa Gaza, lakini pia wamemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Justin Trudeau kuacha kuuuzia silaha utawala wa Kizayuni.

  • Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Dec 13, 2023 01:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Mienendo isiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia mateka wa Palestina katika ukanda wa Gaza ni mfano na ishara ya wazi ya tabia ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Dec 12, 2023 23:16

    Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimekiri kuhusika na shambulizi la kombora la cruise dhidi ya meli ya mafuta katika Bahari Nyekundu, ikiwa njiani kuelekea katika bandari ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Dec 12, 2023 06:39

    Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi. 

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS