Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Al Mashat ataka kususiwa bidhaa za Marekani na Wazayuni

    Al Mashat ataka kususiwa bidhaa za Marekani na Wazayuni

    May 11, 2023 09:37

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amezitolea wito nchi za Kiarabu na Kiislamu kususia bidhaa za Marekani na za utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, muqawama na mapambano yao.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Maghasibu wameshambulia maeneo 200 ya Ghaza katika siku 2

    May 11, 2023 08:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa maghasibu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika muda wa siku mbili wameshambulia maeneo 200 ya Ukanda wa Ghaza na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba: Makazi ya raia ndiyo yaliyolengwa pakubwa katika hujuma hizo za Wazayuni.

  • Kana'ani Chafi: Kuuawa Wapalestina limekuwa jambo la kawaida la kila siku kwa Wazayuni

    Kana'ani Chafi: Kuuawa Wapalestina limekuwa jambo la kawaida la kila siku kwa Wazayuni

    May 08, 2023 02:58

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matokeo ya kimya cha wanaodai kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na mauaji dhidi ya Wapalestina kumefanya kuuawa Wapalestina hao kuwa jambo la kawaida na la kila siku la Wazayuni.

  • Kundi jipya la mapambano laundwa Palestina kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan

    Kundi jipya la mapambano laundwa Palestina kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan

    May 06, 2023 22:51

    Makundi ya muqawama na mapambano ya Palestina katika kambi ya Al-Jalzoon mjini Ramallah yametangaza kuwa limeundwa kundi jipya la muqawama kwa lengo la kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan.

  • Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama

    Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama

    May 04, 2023 03:24

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

  • Sisitizo la Iran na Qatar la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Sisitizo la Iran na Qatar la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Apr 22, 2023 05:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar kuwa kupanua na kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya

    Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya

    Apr 14, 2023 23:07

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.

  • Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje

    Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje

    Apr 14, 2023 03:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.

  • Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi

    Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi

    Apr 10, 2023 23:33

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema vitendo vya kichokozi vilivyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu vinadhihirisha tabia ya utawala huo wa kifashisti na ubaguzi wa rangi.

  • Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita

    Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita

    Apr 10, 2023 22:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Wananchi wa Palestina ameashiria uungaji mkono mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina na kusisitiza kuwa Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS