Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Algeria yataka kikao cha dharura cha Mabunge ya Kiislamu kujadili hujuma za Israel dhidi ya al-Aqswa

    Algeria yataka kikao cha dharura cha Mabunge ya Kiislamu kujadili hujuma za Israel dhidi ya al-Aqswa

    Apr 10, 2023 22:46

    Spika wa Bunge la Algeria ametoa mwito wa kuitishwa mkutano wa dharura kuhusu Palestina ili kujadili hali ya mambo hasa baada ya hujuma na mashambulio ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel dhidii ya msikiti wa al-Aqswa.

  • Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina

    Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina

    Apr 10, 2023 08:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutumia anga za kisiasa katika eneo kwa ajili ya kupotosha fikra za waliowengi kuhusu suala la Palestina.

  • Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina

    Apr 05, 2023 03:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.

  • Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Apr 02, 2023 23:53

    Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.

  • Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Apr 02, 2023 07:46

    Wanaharakati wa kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya Uingereza, kushinikiza kufungwa kwa mashirika ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta

    Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta

    Apr 02, 2023 04:25

    Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Para-Asia 2018 mjini Jakarta ametoa medali yake kwa watu wa Indonesia ili kuunga mkono hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuzuia timu ya soka ya Israel kuingia mjini Jakarta.

  • Arab League: Jamii ya Kimataifa ikomeshe ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel

    Arab League: Jamii ya Kimataifa ikomeshe ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel

    Mar 31, 2023 04:13

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitaka Jamii ya kimataifa ichukue hatua za dhati kukomesha ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali

    Mar 28, 2023 22:40

    Kiongozi wa waandamanaji dhidi ya serikali ya utawala haramu wa Israel ameapa kuwa maandamano yataendelea katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu licha ya waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, kutangaza kuwa mpango tata wa marekebisho ya mahakama ya utawala huo umeakhirishwa hadi mwezi ujao.

  • Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu

    Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu

    Mar 27, 2023 08:01

    Waumini wa Kiislamu wametimuliwa katika Msikiti wa al-Aqsa baada ya Wazayuni wenye misimamo mikali wakiwa wameandamana na askari wa utawala haramu wa Israel kulivamia eneo hilo tukufu la Waislamu.

  • Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu

    Mar 27, 2023 07:56

    Rais Isaac Herzog wa Israel amemtaka Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kuachana na mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi wa mahakama'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS