-
Polisi: Watu 16 wameuawa kwa risasi katika maandamano nchini Sudan
Apr 13, 2019 08:09Polisi nchini Sudan imesema kuwa, kwa akali watu 16 wameuawa huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa katika maandamano ya Alkhamisi na jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.
-
Wamarekani weusi waandamana kupinga kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi mzungu aliyeua kijana mweusi
Mar 23, 2019 13:53Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Kiafrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani wamefanya maandamano mbele ya mahakama wakilaani kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi huyo muuaji katika jimbo la Pennsylvania.
-
HRW: Polisi ya Kongo DR iliua watu 27 katika 'Operesheni ya Likofi'
Feb 22, 2019 02:29Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwaua watu 27 katika operesheni dhidi ya magenge ya uhalifu katika mji mkuu Kinshasa, mwaka jana.
-
Askari polisi 10 waviziwa na kuuawa kaskazini mwa Burkina Faso
Dec 28, 2018 15:57Maafisa 10 wa polisi ya Burkina Faso wameuawa katika hujuma dhidi yao katika eneo la Toeni, kaskazini magharibi mwa nchi karibu na mpaka wa Mali.
-
Polisi Nigeria wawashambulia kwa risasi Waislamu katika maombolezo ya Ashura
Sep 22, 2018 03:11Polisi nchini Nigeria wamewafyatulia risasi Waislamu waliokuwa katika maomboleza ya ashura na kujeruhi baadhi yao.
-
Magaidi 22 wa genge la Boko Haram wanaswa nchini Nigeria
Jul 19, 2018 07:55Polisi ya Nigeria wametangaza kwamba maafisa usalama wa nchi hiyo wamewatia mbaroni wanachama 22 na viongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Aliyekuwa mlinzi wa Bin Laden atiwa mbaroni nchini Tunisia
Jul 15, 2018 07:16Mlinzi wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa al Qaida, Usama bin Laden ametiwa mbaroni nchini Tunisia, baada ya kutimuliwa nchini Ujerumani.
-
Sheikh Zakzaky hajulikani alipo, njia za mawasiliano zakatwa
May 20, 2018 07:21Harakati ya Kiislamu Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi ilionao kuhusu uwepo wa kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky, na kubainisha kwamba njia ambazo zilikuwa zikitumiwa na familia na watu wa karibu naye kwa ajili ya mawasiliano zimekatwa.
-
Kanisa Katoliki Kongo DR lalaani vikali ukandamizaji wa polisi dhidi ya wafuasi wake
Jan 05, 2018 08:02Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limelaani vikali vitendo vya ukatili na ukandamizaji walivyofanyiwa watu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya shughuli ya kidini katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 15:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.