-
Putin: Kipaumbele ni kutuma nafaka za Ukraine kwa nchi zenye uhitaji mkubwa
Sep 15, 2022 10:57Rais wa Russia Vladimir Putin amesema katika mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwamba "kipaumbele kinapaswa kuwa kupeleka nafaka za Ukraine kwa nchi zenye uhitaji mkubwa duniani.
-
Tofauti kati ya safari ya Biden na Putin eneo la Asia Magharibi
Jul 19, 2022 08:34Baada ya safari ya Rais Joe Biden wa Marekani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na Saudi Arabia, Rais Vladimir Putin wa Russia leo yuko safarini nchini Iran. Kuna tofauti za wazi kati ya malengo na ajenda za safari ya Biden na Putin katika eneo la Asia Magharibi. Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki pia yuko safarani nchini Iran kwa lengo la mkutano wa pande tatu wa marais wa Iran, Russia na Uturuki.
-
Rais wa Russia atoa jibu zito kwa maneno ya upuuzi ya waziri mkuu wa Uingereza
Jul 01, 2022 08:02Rais Vladimir Putin wa Russia amejibu kauli za kipuuzi na upayukaji za waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson alizotoa dhidi yake pembeni ya mkutano wa nchi wanachama wa G7.
-
Putin atangaza kutumwa kwa makombora ya Alexander huko Belarusi
Jun 26, 2022 07:44Rais wa Russia, Vladimir Putin alitangaza jana katika mazungumzo yake na rais mwenzake wa Belarus, Alexander Lukashenko huko St. Petersburg kwamba Moscow inapeleka mifumo ya makombora ya Iskander-M huko Belarus.
-
Putin: US, EU ziwajibishwe dunia ikitumbukia kwenye baa la njaa
Jun 18, 2022 11:29Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ukoloni mamboleo ndio umesababisha migogoro wa kibinadamu inayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali duniani; na kwamba Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazopaswa kubebeshwa dhima iwapo dunia itatumbukia kwenye baa la njaa.
-
Rais Ebrahim Raisi: Nchi huru zishirikiane ili kusambaratisha vikwazo vya mabeberu
Jun 09, 2022 07:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano baina ya nchi huru katika kudhamini mahitaji yao ya pamoja kieneo na kimataifa ni jambo muhimu sana na ndiyo njia ya kusambaratisha mashinikizo ya madola yanayopenda kuziwekea vikwazo nchi nyingine.
-
Putin awaagiza wanajeshi wake kuizingira kikamilifu Mariupol
Apr 21, 2022 12:02Rais Vladimir Putin wa Russia amewaagiza wanajeshi wa nchi hiyo kutovamia ngome ya mwisho ya Ukraine iliyosalia katika mji uliozingirwa wa Mariupol badala yake wauzingire mji huo ili hata nzi ashindwe kuingia katika mji huo.
-
Biden: Siombi radhi wala sibadili kauli yangu kuhusu Putin
Mar 29, 2022 07:54Rais Joe Biden wa Marekani amesema, haombi radhi wala hatobadili kauli yake kuhusu aliyosema kwamba Rais Vladimir Putin wa Russia hapasi kubaki madarakani.
-
Biden: Tutamjibu Putin iwapo atatumia silaha za kemikali
Mar 25, 2022 08:05Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuwa iwapo Rais Vladimir Putin wa Russia atatumia silaha za kemikali na kusababisha uharibifu mkubwa huko Ukraine Marekani itajibu hatua hiyo.
-
Peskov: Matamshi ya Biden dhidi ya Putin "hayasameheki", "hayakubaliki"
Mar 17, 2022 03:23Msemaji wa Rais wa Russia Dmitry Peskov ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Joe Biden wa Marekani dhidi ya mwenzake wa Russia, Vladimir Putin kuwa "hayakubaliki" na "hayawezi kusamehewa."