Pars Today
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ametoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake vinavyofanya mashambulizi ya kudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.
Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani leo Jumapili ameondoka ghalfa katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mjini Tunis, Tunisia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi amesema: Marekani haiwezi kuutekeleza mpango wa "Muamala wa Karne" pasi na kukubali kuwepo nchi huru ya Palestina.
Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
Mkuu wa Baraza Kuu la Libya amefanya safari rasmi ya kuitembelea nchi ndogo ya Qatar katika wakati huu ambapo nchi hiyo imezingirwa kila upande na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri.
Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Aal Thani Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za Ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, nchi hizo zinahitajia kuwa na maelewano na Tehran.
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zina wajibu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran kwani zinaihitajia nchi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (PGCC) kufikia mwafaka na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Baada ya safari ya siku mbili ya Rais Omar al-Bashir wa Sudan mjini Doha, Qatar Mfalme wa Saudia pia alituma ujumbe huko Sudan ulioongozwa na mmoja wa mawaziri wake kwa ajili ya kukutana na al-Bashir.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, tofauti zilizojitokeza kati ya nchi yake na Saudi Arabia zingali ziko pale pale; na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC halijatoa msaada wowote kwa ajili ya kutatua mvutano huo.