-
Qatar: Mpira uko katika uwanja wa Israel; Tel Aviv haitaki kufikia mapatano
Aug 26, 2025 22:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ameeleza kuwa, hivi sasa mpira uko katika uwanja wa utawala wa Kizayuni wa Israel na inaonekana kuwa Tel Aviv haitaki kufikia makubaliano ya usitishaji vita. Amesema hayo akizungumzia jibu lililotolewa na utawala wa Israel kwa pendekezo la wapatanishi.
-
Makubaliano ya amani ya DRC: Maeneo yanayodhibitiwa na M23 kurejeshwa mikononi mwa serikali
Aug 21, 2025 06:24Makubaliano ya amani yaliyopendekezwa kati ya serikali ya Congo na waasi wa M23 wanaodaiwa kuuungwa mkono na Rwanda yanataka kurejesha udhibiti wa serikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi.
-
Qatar: Tumezikabidhi DRC, M23 rasimu ya makubaliano ya amani
Aug 18, 2025 03:14Qatar imetangaza habari ya kukabidhi rasimu ya makubaliano ya amani kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa amani unaoendelea Doha, vyombo vya habari vya DRC viliripoti hayo jana Jumapili, vikimnukuu afisa wa Qatar.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 08:35Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Viongozi wa Misri na Qatar wakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani nchini Oman
Apr 14, 2025 23:46Rais wa Misri na Amir wa Qatar wametoa taarifa baada ya mazungumzo yao huko Doha, mji mkuu wa Qatar na kukaribisha mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani huko Oman.
-
Hatimaye makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa
Jan 19, 2025 09:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa.
-
Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Qatar yaongezeka kwa 53%
Jan 09, 2025 07:59Mabadilishano ya kibiashara kati ya Qatar na Jamahuri ya Kiislamu ya Iran yameongezeka kwa kasi katika kipindi cha miezi michache iliyopita.
-
Iran na Qatar zasisitiza kuzuiwa mashambulio ya Israel dhidi ya miundomsingi ya Syria
Dec 12, 2024 07:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika juhudi na kuchukuliwa hatua za dhati ili kusimamisha mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya miundomsingi ya Syria na kukalia kwa mabavu maeneo zaidi ya nchi hiyo na utawala huo ghasibu.
-
Rais Pezeshkian: Kuenea ugaidi Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili
Dec 02, 2024 23:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
-
Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Nov 21, 2024 04:27Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.