-
Qatar yakadhibisha madai ya kufunga ofisi ya HAMAS mjini Doha
Nov 10, 2024 03:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amepuuzilia mbali ripoti za baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kufungwa kwa ofisi ya Harakati ya Muqawamawa wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Doha.
-
Iran yaendelea na jitihada za kusimamishwa vita Ghaza na Lebanon
Oct 31, 2024 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Misri, Indonesia na Qatar na kujadiliana nao masuala ya kikanda na uhusiano wa pande mbili ikiwa ni muondelezo wa jitihada za Iran za kuhakikisha vita vinakomeshwa huko Ghaza na Lebanon.
-
Qatar: Hatutaruhusu ardhi, anga yetu zitumike kushambulia majirani
Oct 16, 2024 03:38Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake kamwe haitaruhusu Kambi ya Anga ya Al Udeid ambayo ina wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Qatar kutumika kufanya mashambulizi dhidi ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Rais wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu inapambana na vitendo vya kuhatarisha usalama na kuzusha machafuko katika eneo hili
Oct 03, 2024 22:56Rais wa Iran amesisitiza kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utafanya kosa lolote la kijinai, basi utakumbwa na jibu madhubuti na kali na kwamba Jamhuri ya Kiislamu inapambana na vitendo vya utawala ghasibu wa Kizayuni vya kuzusha machafuko na kueneza mgogoro katika eneo hili.
-
Iran na Qatar zatiliana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano
Oct 03, 2024 00:52Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamelitiana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano wa pamoja katika nyanja mbalimbali.
-
Qatar yataka mataifa ya Kiislamu kuungana kupambana na utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 23:00Waziri mshauri wa serikali ya Qatar katika masuala ya uhusiano wa kimataifa ameonya kuhusu hatari ya kuzuka vita vikubwa vya ukanda mzima wa Asia Magharibi na ametaka mataifa ya Kiislamu yaungane kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji ya kizazi huko Palestina na Lebanon.
-
Rais wa Iran kuelekea Qatar kesho Jumatano
Oct 01, 2024 10:23Rais wa Iran kesho Jumatano ataondoka hapa Tehran na kuelekea Qatar kwa madhumuni ya kushiriki katika kikao rasmi cha nchi mbili na kushiriki katika Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia.
-
Jumanne, Septemba 3, 2024
Sep 02, 2024 22:51Leo ni Jumanne tarehe 29 Safar 1446 Hijria sawa na Septemba 3 mwaka 2024.
-
Pezeshkian: Waislamu lazima waungane kukomesha jinai za Israel
Aug 26, 2024 23:05Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna haja kwa mataifa ya Waislamu pamoja na nchi nyingine duniani kuungana na kuwa na sauti moja katika kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Bagheri Kani: Mataifa ya eneo yachukue hatua za kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Jun 20, 2024 09:18Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, hali ya eneo na maslahi ya mataifa ya eneo hili yanahitaji kutumia uwezo wao wote kusimamisha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza na kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.