-
Mauritania nayo yakata uhusiano na Qatar, Gabon yaishutumu Doha
Jun 07, 2017 02:39Katika hatua inayoonekana ni kufuata kibubusa sera za Saudi Arabia, Mauritania imetangaza kukata uhusiano wa kidiplomasia na Qatar, siku chache baada ya nchi kadhaa za Kiarabu kuchukua hatua kama hiyo.
-
Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar
Jun 06, 2017 23:18Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono Saudi Arabia katika mgogoro wake na Qatar na kwa njia isiyo ya moja kwa moja akaituhumu Qatari kuwa inaunga mkono ugaidi.
-
Qatar yaafiki upatanishi wa Kuwait katika mgogoro na Saudia
Jun 06, 2017 09:10Qatar imesema iko tayari kuipa Kuwait fursa kuwa mpatanishi katika mgogoro ulioibuka baada ya Saudi Arabia kuzichochea nchi kadhaa za Kiarabu kukata uhusiano na nchi hiyo.
-
Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar
Jun 06, 2017 03:38Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amekaribisha hatua ya Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kukata mahusiano yao na taifa la Qatar na kusema kuwa, hiyo ni fursa pekee kwa ajili ya Israel.
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 05, 2017 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Saudia yazifunga ofisi za al-Jazirah, Qatar nayo yajibu kwa kufuta safari za ndege zake kwenda Saudia
Jun 05, 2017 11:09Serikali ya Saudia imesimamisha urushaji matangazo na kufunga ofisi za kanali ya televishani ya al-Jazira inayomilikiwa na Qatar nchini humo.
-
Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi
Jun 05, 2017 03:15Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.
-
Saudia yatabiri kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Qatar
Jun 02, 2017 21:59Katika hali inayoonekana ni ya kuzidi kuvurugika uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar, gazeti moja la Saudia linalochapishwa mjini Riyadh limetabiri kuwa, kuna uwezekano wa kutokea mapinduzi ya sita ya kijeshi nchini Qatar hasa kwa kuzingatia katika nchi hiyo ndogo ya Kiarabu kumetokea mapinduzi matano ya kijeshi katika kipindi cha baina ya mwaka 1971 na 2013.
-
Qatar: Nchi za Ghuba zinahitajia kuwa na uhusiano mzuri na Iran
May 18, 2017 03:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi zinahitajia kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Misri yailaumu vikali Qatar, (P) GCC yailalamikia serikali ya Cairo
Dec 17, 2016 00:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetoa taarifa ya kuilaumu tena Qatar na kuituhumu kuwa ilihusika katika tukio la kigaidi la mripuko uliotokea kwenye kanisa la Othodoksi la Saint Mark la Waqibti katika mji mkuu Cairo.