-
Timu ya kandanda ya Iran yawasili Qatar kushiriki Kombe la Dunia
Nov 15, 2022 00:19Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasili Doha, mji mkuu wa Qatar kwenda kuweka kambi ya kujianjdaa kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza kutifua mavumbi wiki ijayo.
-
Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 12, 2022 08:42Serikali ya Qatar kwa mara nyingine tena imesisitiza msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida wa aina yoyote ile na utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji kila leo huko Palestina.
-
Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India
Nov 10, 2022 23:39Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni
Nov 02, 2022 04:29Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.
-
Wanaharakati wa mitandao ya kijamii waanzisha kampeni ya kususiwa PUMA na kupeperusha bendera ya Palestina Qatar 2022
Oct 31, 2022 23:00Wanaharakati wa mitandao ya kijamii wameanzisha kampeni ya kusuusiwa kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA ya Ujerumani na kupeperushwa bendera ya Palestina wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022 ili kuwaazindua walimwengu kuhusumasaibu ya watu wa Palestina na umuhimu wa ukombozi wa ardhi hiyo inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Qatar: Hatutoi gesi ya wateja wa Asia kwenda Ulaya
Oct 19, 2022 04:40Waziri wa Masuala ya Nishati wa Qatar ametangaza kuwa haitazamiwi katika msimu ujao wa baridi kali shehena ya gesi iliyopangwa kwenda Asia kuelekea Ulaya.
-
Mazungumzo ya kuondoa vikwazo; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar
Sep 20, 2022 03:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamezungumzia suala la kuondolewa vikwazo katika fremu ya vikao vya Vienna.
-
Jumamosi, 3 Septemba, 2022
Sep 02, 2022 23:57Leo ni Jumamosi mwezi 6 Mfunguo Tano Safar 1444 Hijria mwafaka na tarehe 3 Septemba 2022 Miladia.
-
Serikali ya kijeshi ya Chad na makundi ya upinzani wasaini makubaliano ya amani Qatar
Aug 08, 2022 22:18Serikali ya kijeshi ya Chad na makundi zaidi ya 40 ya upinzani wamesaini makubaliano ya amani mjini Doha, Qatar kwa lengo la kuanzisha mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa, huku kundi kuu la waasi katika nchi hiyo Afrika ya Kati likikataa kusaini mapatano hayo.
-
Amir wa Qatar: Israel ndio chanzo kikuu cha mivutano katika eneo la Asia Magharibi
Jul 17, 2022 22:01Amir wa Qatar ameitaja Israel kuwa ndio chanzo kikuu cha mizozo katika eneo la Asia Magharibi, akisema machafuko na hali ya kutokuwepo utulivu itaendelea katika eneo hilo isipokuwa utawala ghasibu wa Israel utakapokoma kukiuka sheria za kimataifa.