Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Kusimama kidete Wapalestina kwawalazimisha Wazayuni kuitisha kikao cha dharura

    Kusimama kidete Wapalestina kwawalazimisha Wazayuni kuitisha kikao cha dharura

    May 09, 2018 03:20

    Viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelazimika kuitisha kikao cha dharura baada ya vyama, mirengo na makundi yote ya Wapalestina kuungana na kusimama imara kukabiliana na uadui wa kupindukia wa rais wa Marekani dhidi ya mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Ukosoaji wa rais wa Romania kwa uamuzi wa kuhamishiwa ubalozi wa nchi hiyo Quds Tukufu

    Ukosoaji wa rais wa Romania kwa uamuzi wa kuhamishiwa ubalozi wa nchi hiyo Quds Tukufu

    May 06, 2018 22:26

    Rais Klaus Iohannis wa Romania amekosoa vikali uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv, kwenda mji wa Quds (Jerusalem) na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kosa kubwa.

  • Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani

    Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani

    May 03, 2018 02:13

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na muungano eti wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani dhidi ya taifa la Syria.

  • Mapatano ya Karne; mpango wa kuifuta Palestina

    Mapatano ya Karne; mpango wa kuifuta Palestina

    May 02, 2018 03:37

    Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani yay Palestina amesisitiza kuwa, Beitul-Muqaddas ni mji mkuu wa abadi na milele wa Palestina.

  • Japan yaipinga Marekani, yasema haitahamishia ubalozi wake Beitul-Muqaddas

    Japan yaipinga Marekani, yasema haitahamishia ubalozi wake Beitul-Muqaddas

    May 01, 2018 23:25

    Waziri Mkuu wa Japan amesisitiza kuwa, nchi yake haitaungana na Marekani katika uamuzi wake na kwamba, haitahamishia ubalozi wake katika mji wa Beitul-Muqaddas

  • Kitongoji cha Trump, nembo ya ubeberu wa Marekani na Israel

    Kitongoji cha Trump, nembo ya ubeberu wa Marekani na Israel

    Apr 28, 2018 23:08

    Waziri wa Ujenzi wa Israel, Yoav Galant ametangaza kuwa, Tel Aviv imechukua uamuzi wa kukipa jina la "Kitongoji cha Trump" eneo kutakakojengwa balozi za nchi mbalimbali katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.

  • Rais wa Romania amtaka Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya kutembelea Israel kwa siri

    Rais wa Romania amtaka Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya kutembelea Israel kwa siri

    Apr 27, 2018 23:27

    Rais Klaus Iohannis wa Romania amemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Viorica Dancila ajiuzulu kutokana na safari yake ya siri katika utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sheikh wa al-Azhar: Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Waislamu

    Sheikh wa al-Azhar: Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Waislamu

    Apr 21, 2018 23:17

    Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Kiislamu na daima itaendelea kuubakia kuwa ni ya Kiislamu.

  • Akthari ya Wapalestina wakazi wa Quds Mashariki wanaishi chini ya mstari wa umaskini

    Akthari ya Wapalestina wakazi wa Quds Mashariki wanaishi chini ya mstari wa umaskini

    Apr 15, 2018 23:56

    Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa asilimia 75 ya Wapalestina wakazi wa Quds Mashariki wanaishi chini ya mstari wa umaskini.

  • Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Apr 06, 2018 00:05

    Spika wa Bunge la Morocco amesema kuwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS