-
Yemen yapiga marufuku bidhaa za Sweden kwa kuvunjia heshima Qurani
Jul 22, 2023 11:09Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen imepiga marufuku bidhaa za Sweden kuigizwa nchini humo, kama jibu kwa hatua ya nchi hiyo ya Ulaya ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ayapiga marufuku mashirika ya Sweden
Jul 21, 2023 11:08Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ameyapiga marufuku mashirika yote ya Sweden kufanya kazi nchini humo ikiwa ni kujibu kitendo cha nchi hiyo ya Ulaya Magharibi cha kuruhusu kuvunjiewa heshima tena Qur'ani Tukufu na bendera ya Iraq.
-
Iran: Mkuu wa UN achukue msimamo mkali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 21, 2023 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akimtaka achukue msimamo mkali dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu.
-
Hizbullah yataka nchi za Waislamu ziwafukuze mabalozi wa Sweden
Jul 21, 2023 07:51Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametoa mwito kwa mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuwafukuza mabalozi wa Sweden katika nchi hizo, kulalamikia kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya. Hii ni baada ya mkimbizi wa Iraq aliyeko Sweden kuivunjia heshima Qurani Tukufu kwa kuikanyaga na kuipiga mateke mjini Stockholm jana Alkhamisi.
-
Iran yamuita balozi wa Sweden kulalamikia kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 21, 2023 03:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Sweden mjini Tehran kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Kuvunjiwa heshima Qurani; Wairaq waushambulia ubalozi wa Sweden
Jul 20, 2023 07:33Wananchi wa Iraq waliokuwa na ghadhabu wameuvamia ubalozi wa Sweden mjini Baghdad na kuchoma moto sehemu moja ya ofisi za ubalozi huo, kulalamikia kibali cha pili kilichotolewa na serikali ya Stockholm cha kuruhusu kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Marekani na Ulaya zapinga azimio la UN linalohusiana na kuchomwa moto Qur'ani
Jul 13, 2023 02:58Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) limepitisha azimio kuhusu chuki na ubaguzi wa kidini kufuatia tukio la uchomaji moto wa Qur'ani nchini Sweden lililolaaniwa vikali katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Qurani yachomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti nchini Ujerumani
Jul 11, 2023 07:26Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.
-
Naibu Mufti wa Uganda: Qur'ani ni muujiza mkubwa wa Uislamu
Jul 10, 2023 02:44Naibu Mufti na ambye pia ni mjumbe wa Baraza Kuu la Waislamu la Uganda amelaani kuchomwa moto Qur'ani Tukufu huko Sweden na kuitaja hujuma hiyo kuwa ni kitendo cha kinyama cha uchochezi dhidi ya dini yenye wafuasi zaidi ya bilioni mbili.
-
Waislamu Uganda na Nigeria walaani kuchomwa moto Qurani Tukufu Sweden
Jul 04, 2023 07:51Baraza Kuu la Waislamu nchini Uganda (UMSC) limelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden, huku uhalifu huo mkubwa wa kukichoma moto kitabu hicho kitakatifu katika nchi hiyo ya Magharibi ukiendelea kulaaniwa vikali na Waislamu kote duniani.