-
Nchi 80 kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
Dec 26, 2022 11:57Finali za Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran zitaanza katika mji mkuu wa Iran, Tehran, mnamo Februari 18, 2023.
-
Waislamu wahadharishwa na usambazwaji wa nakala zilizopotoshwa za Qur'ani katika intaneti
Dec 11, 2022 02:29Jumuiya ya Kimataifa ya Uislamu imetangaza kuwa, kuna nakala zilizopotoshwa za Qur'ani Tukufu zinazosambazwa katika baadhi ya tovuti zisizojulikana rasmi.
-
Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni
Oct 11, 2022 12:12Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani
Aug 12, 2022 08:09Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Kamanda Salami: Chuki za Marekani kwa SEPAH hazina mwisho
May 06, 2022 07:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, chuki na uadui wa Marekani kwa jeshi hilo la Iran hauna mwisho na hakuna siku utamalizika.
-
Jumatano tarehe 4 Mei 2022
May 04, 2022 02:34Leo ni Jumatano tarehe 2 Shawwal 1443 Hijria iinayosadifiana na tarehe 4 Mei 2022.
-
Mhalifu mwenye misimamo mikali achoma moto Qurani Tukufu Sweden
Apr 16, 2022 02:39Mhalifu mmoja mwenye misimamo ya kufurutu ada wa mrengo wa kulia nchini Sweden amechoma nakala inayoaminiwa ni ya Qurani Tukufu katika mtaa ambao akthari ya wakazi wake ni Waislamu.
-
Ramadhani, mwezi wa fursa
Apr 11, 2022 10:56Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakukaribisheni kusikilizaji kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Wanafunzi 20 wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu wafanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Qur'ani Tukufu
Feb 26, 2022 12:36Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.