-
Raisi: Bila juhudi za IRGC, bara Ulaya lingetawaliwa na ISIS
Aug 19, 2023 00:22Rais Ebrahim Raisi wa Iran amepongeza nafasi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kukabiliaina na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi na kueleza kuwa, bila jitihada za SEPAH, nchi za Ulaya hivi sasa zingekuwa zimetamalakiwa na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa
Aug 16, 2023 22:59Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.
-
Raisi: US, nchi za Ulaya zilipanga ghasia za mwaka jana Iran
Aug 15, 2023 04:26Rais wa Iran ameikosoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuratibu machafuko yaliyoshuhudiwa mwaka jana hapa nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini.
-
Raisi: Marekani na Israel zinakula njama za kuvuruga usalama wa eneo
Aug 09, 2023 08:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu si tu vinalinda usalama wa taifa hili, bali pia usalama na uthabiti wa nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.
-
Kukosoa Maduro kimya cha viongozi wa Ulaya kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 08, 2023 23:41Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali kuendelea kukaa kimya viongozi wa Ulaya kuhusiana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa
Aug 05, 2023 00:26Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani
Jul 17, 2023 22:57Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali kutokuwa huru nchi za Ulaya na kuwa tayari nchi hizo kutekeleza kibubusa amri na maagizo ya Marekani.
-
Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika
Jul 11, 2023 04:50Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 04, 2023 03:54Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amealikwa rasmi kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini.
-
Rais wa Senegal: Sitagombea muhula mwingine wa urais
Jul 04, 2023 03:25Rais Macky Sall wa Senegal amesema hatagombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu ujao unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2024.