Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais mpya wa Nigeria

    Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais mpya wa Nigeria

    May 29, 2023 07:18

    Bola Ahmed Tinubu ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Nigeria tokea kurejea kwa utawala wa demokrasia nchini humo mwaka 1999; huku akiwahijiwa na changamoto nyingi za kiuchumi na kiusalama.

  • Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine

    Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine

    May 20, 2023 21:58

    Marekani imepiga hatua mpya katika kupanua wigo wa vita nchini Ukraine. Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Jake Sullivan ametangaza kuwa Rais Joe Biden Ijumaa aliwafahamisha viongozi wa Kundi la G7 kwamba ameafiki kutoa mafunzo ya kuendesha ndege za kivita za F-16 kwa marubani wa Ukraine.

  • Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan

    Apr 08, 2023 22:44

    Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.

  • Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine

    Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine

    Apr 07, 2023 04:49

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa siku ya Jumatano aliwasili Beijing kwa ziara ya siku tatu nchini China. Ziara hiyo ni ya kwanza kufanywa na Macron nchini China tangu mwaka 2019. Rais huyo wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping.

  • Kukiri Biden kuhusu kutenga serikali ya Marekani bajeti kwa ajili ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi zingine

    Kukiri Biden kuhusu kutenga serikali ya Marekani bajeti kwa ajili ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi zingine

    Apr 03, 2023 08:46

    Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo imetenga bajeti ya mabilioni ya dola ambayo yatatumika katika masuala ambayo ameyataja kama “kuufanya mwenge wa uhuru uendelee kuwaka”.

  • Rais wa Chad awasamehe waasi 380 'waliomuua' babake

    Rais wa Chad awasamehe waasi 380 'waliomuua' babake

    Mar 26, 2023 22:41

    Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Deby ametangaza msahama kwa mamia ya waasi waliohukumiwa kifungo cha maisha jela hivi karibuni, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya rais wa zamani wa Mali Idriss Deby Itno, ambaye ni baba ya rais huyo wa muda.

  • Rais Kagame atangaza msamaha kwa shujaa wa

    Rais Kagame atangaza msamaha kwa shujaa wa "Hotel Rwanda"

    Mar 24, 2023 23:43

    Serikali ya Rwanda imemuachia huru Paul Rusesabagina, nyota wa filamu ya "Hotel Rwanda" aliyegeuka na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Paul Kagame wa nchi hiyo.

  • Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Mar 19, 2023 04:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.

  • Mazungumzo ya Biden na Scholz: Kuongezeka mashinikizo dhidi ya Russia na misaada ya silaha kwa Ukraine

    Mazungumzo ya Biden na Scholz: Kuongezeka mashinikizo dhidi ya Russia na misaada ya silaha kwa Ukraine

    Mar 06, 2023 06:41

    Kitengo cha upashaji habari cha Ikulu ya Marekani, White House siku ya Ijumaa kilitoa taarifa baada ya mazungumzo ya rais wa nchi hiyo Joe Biden na kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kikisema kuwa, nchi hizo mbili zimejipanga kuendelea na siasa za vvikwazo dhidi ya Russia hadi muda wowote zitakaohisi unafaa.

  • Rais Samia wa Tanzania: Wapinzani si maadui wa taifa

    Rais Samia wa Tanzania: Wapinzani si maadui wa taifa

    Mar 05, 2023 09:07

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuukumbatia upinzani na kusisitiza kuwa, wapinzani si maadui wa taifa, bali ni nguzo muhimu ya demokrasia ya nchi hiyo. Serikali ya mtangulizi wake hayati John Magufuli ilikuwa inatuhumiwa kuwawekea mbinyo wakosoaji na viongozi wa upinzani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS