Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili

    Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili

    Feb 15, 2023 22:56

    Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.

  • Rais Raisi: Utawala Mpya wa Dunia unaibuka huku Asia ikiwa kitovu

    Rais Raisi: Utawala Mpya wa Dunia unaibuka huku Asia ikiwa kitovu

    Feb 15, 2023 09:13

    Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.

  • Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron

    Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron

    Feb 12, 2023 23:03

    Takribani watu milioni moja waliandamana siku ya Jumamosi nchini Ufaransa ikiwa ni mara ya nne wakipinga sera za serikali ya Rais Emmanuel Macron.

  • Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi

    Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi

    Feb 06, 2023 09:34

    Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.

  • Mauaji ya kikatili ya raia mwingine mweusi; ukatili usio na mwisho wa polisi wa Marekani

    Mauaji ya kikatili ya raia mwingine mweusi; ukatili usio na mwisho wa polisi wa Marekani

    Jan 29, 2023 04:48

    Siku ya Ijumaa na baada ya kuchapishwa picha za kutisha za kupigwa kinyama Tyre Nichols, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 29 na polisi huko Memphis, katika jimbo la Tennessee, wimbi jipya la maandamano limeanza nchini humo na hasa katika miji ya Memphis, Boston, Chicago, Detroit, New York City, Portland, Oregon na Washington dhidi ya ukatili unaofanywa na polisi dhidi ya watu weusi.

  • Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu

    Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu

    Jan 26, 2023 23:18

    Rais wa Iran amesema vitendo vya karibuni vya kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya ni tusi kwa dini zote za mbinguni zenye asili ya Nabii Ibrahim (AS), na kwa jamii yote ya wanadamu.

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

    Jan 24, 2023 23:34

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Syria ni thabiti na kwamba umejengwa katika misingi ya moyo wa muqawama na mapambano ya wananchi wa mataifa haya mawili.

  • Mtoto wa Rais wa Guinea ya Ikweta mbaroni kwa kuuza ndege ya shirika la taifa

    Mtoto wa Rais wa Guinea ya Ikweta mbaroni kwa kuuza ndege ya shirika la taifa

    Jan 19, 2023 07:25

    Mtoto wa kiume wa rais wa Equatorial Guinea amewekwa mbaroni kwa tuhuma za kuuza ndege ya shirika la ndege la taifa hilo kinyume na sheria.

  • Rais wa Vietnam ajiuzulu kutokana na makosa ya maafisa wake

    Rais wa Vietnam ajiuzulu kutokana na makosa ya maafisa wake

    Jan 17, 2023 09:26

    Rais wa Vietnam ametangaza kujiuzulu kutokana na utepetevu na makosa yaliyofanywa na maafisa aliokuwa akiwasimamia, ikiwa ni chini ya miaka miwili baada ya kuchukua wadhifa huo.

  • Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia

    Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia

    Jan 10, 2023 04:09

    Huku Chama cha Demokrasia ya Maendeleo 'Chadema' kikitarajia kuzindua mikutano ya hadhara Januari 21 mwaka huu nchini Tanzania, viongozi wa chama hicho kikuu cha upizani walioko nje ya nchi, Tundu Lissu, Godbless Lema na Ezekia Wenje wanatazamiwa kuwa miongoni mwa washiriki katika mikutano hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS