-
Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5
Jun 03, 2019 10:48Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.
-
Saudia kuwanyonga wanazuoni 3 mashuhuri baada ya Ramadhani
May 22, 2019 07:51Utawala wa Aal-Saud umepanga kuwanyonga wanazuoni watatu mashuhuri nchini Saudi Arabia baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwa ni katika muendelezo wa ukatili na ukandamizaji dhidi ya wasomi na wapinzani unaoongozwa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa utawala huo, Mohammed bin Salman.
-
Umoja wa Mataifa watoa pongezi za Ramadhani
May 06, 2019 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mkono wa pongezi na fanaka kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Ijumaa, Juni 8, 2018
Jun 08, 2018 02:29Leo ni Ijumaa tarehe 18 Khordad mwaka 1397 Hijria Shamsia sawa na 23 Ramadhani mwaka 1439 Hijria, zinazosadifiana na 8 Juni mwaka 2018 Miladia.
-
Mwaliko wa Ramadhani
May 28, 2018 12:14Waashiki wa Qur'ani Tukufu hukikaribia zaidi kitabu hiki cha mbinguni katika mwezi huu mtukufu na kuzipa nyoyo zao msisimuko na uhai mpya kwa kusoma, kujifunza na kudiriki maarifa yake.
-
Rais Rouhani: Marekani haiwezi kukabiliana na taifa imara la Iran
May 21, 2018 08:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kamwe Marekani haitoweza kulipigisha magoti taifa imara la Iran.
-
Mwaliko wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
May 20, 2018 12:50Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni nyote tusikilize kwa pamoja kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani
May 19, 2018 04:14Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha
May 18, 2018 18:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
May 18, 2018 18:17Kama kamawaida, wiki hii pia iliyosadifiana na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani imesheheni matukio ya kila namna ya Kiislamu duniani ukiwemo ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Harith Subeit na baadhi ya matukio hayo...