-
Rais Rouhani: Askari magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka magharibi mwa Asia hususan Syria
Jul 01, 2020 08:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa suala la kuheshimu mamlaka ya Syria na kujitawala nchi hiyo ni msingi mkuu ambao haupaswi kuguswa na kusisitiza kuwa, wanajeshi magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka eneo la magharibi mwa Asia hususan huko Syria haraka iwezekanavyo.
-
Rouhani: Iran itasimama kidete zaidi dhidi ya ubeberu wa Marekani
Jun 25, 2020 03:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litasimama kidete zaidi kukabiliana na sera za kibeberu za Marekani hata kuliko huko nyuma.
-
Rouhani: Wakala wa IAEA unapasa kulinda uhuru na kujitawala kwake
Jun 24, 2020 08:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azimio lililotolewa na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran na kueleza kuwa: Wakala huo unapasa kubakia katika mkondo wake wa kisheria kwa kulinda uhuru kujitawala kwake mkabala na mashinikio ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rouhani: Iran imepata maksi nzuri katika kupambana na corona
Jun 20, 2020 07:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utendaji kazi wa Jamhuri ya Kiislamu katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 umepata alama na maksi nzuri ikilinganishwa na nchi nyingine duniani hata zilizoendelea.
-
Rouhani: Marekani inapanga njama kuzuia kuondolewa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 10, 2020 08:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kufutwa vikwazo vyote vya silaha dhidi ya Iran baadaye mwezi Oktoba mwaka huu na kusema Marekani imeghadhabishwa na mpango wa kufutwa vikwazo hivyo na sasa inapanga njama ya kutaka vikwazo hivyo visalie.
-
"Hatukuiruhusu Marekani ikandamize kwa goti uzalishaji nchini Iran"
Jun 09, 2020 03:42Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kaulimbiu ya 'Ustawi mkubwa katika Uzalishaji' ndiyo suluhu ya matatizo yote ya kiuchumi ya Jamhuri ya Kiislamu, na hilo litaafikiwa kwa ushirikiano na jitihada za pamoja.
-
Rouhani: Ramadhan Shalah alisabilia maisha yake kupambana na Wazayuni
Jun 07, 2020 22:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria tukio la kuaga dunia katibu mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusema kuwa, shakhsia huyo alisabilia maisha yake yote katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais Rouhani: Watu wa afya daima wamekuwa wakipata mafanikio ya kujivunia nchini Iran
Jun 06, 2020 07:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia mafanikio waliyoyapata watu wa afya humu nchini katika masuala ya kisayansi na utafiti wa kupambana na kirusi cha corona na kusema, watu wa fya nchini Iran daima wamekuwa wakipata mafanikio ya kujivunia.
-
Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu, zichukue hatua za kivitendo
Jun 02, 2020 07:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani, bali zitekeleze kivitendo majukumu yao.
-
Rouhani: Utendaji mzuri wa Iran katika kukabililiana na COVID-19 utabakia katika historia
May 31, 2020 23:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria takwimu za taathira ya corona katika uchumi wa baadhi ya nchi zilizostawi duniani na kusema: "Utendaji mzuri wa siku 100 wa wafanyakazi wa sekta ya tiba na taifa la Iran katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 utabakia katika historia."