-
Rais Rouhani azindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2021 13:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Qassem Soleimani.
-
Rais Rouhani: Shahidi Qassim Suleimani amewazawaidia izza Waislamu na kuwadhalilisha maadui
Dec 31, 2020 12:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shahdi Luteni Jenerali Qassim Suleimani amelizawadia izza wakazi wote wa eneo la Asia Magharibi na Waislamu wa eneo hili na amewadhalilisha maadui katika matukio mengi.
-
Rouhani: Taifa la Iran litaikata miguu Marekani katika eneo
Dec 30, 2020 14:36Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaikata miguu Marekani katika eneo la Asia Magharibi katika kisasi chake cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH).
-
Rais Rouhani: Serikali inafuatilia kila lahadha ili kuvifanya vikwazo kutokuwa na taathira
Dec 26, 2020 14:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali inafanya hima na juhudi kubwa tena kila lahadha kuhakikisha kwamba vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya taifa hili vinafubaa na kutokuwa na taathira.
-
Ujumbe wa Rais wa Iran kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabi Isa AS
Dec 26, 2020 07:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa dunia kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- na kuwadia mwaka mpya wa 2021 Miladia.
-
Rouhani: Kuzinduliwa miradi ya kitaifa ya petrokemikali ni dhihirisho la nguvu ya taifa la Iran
Dec 24, 2020 14:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kuzinduliwa na vijana wataalamu wa Kiirani miradi mbalimbali ya kitaifa ya petrokemikali kuwa ni dhihirisho la nguvu ya taifa la Kiislamu la Iran na ni pigo kubwa kwa ubeberu wa kimataifa.
-
Rouhani: Hatima ya Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta Saddam
Dec 23, 2020 12:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatima ya Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein.
-
Rouhani: Imani ya wananchi kwa wahudumu wa sekta ya afya imeiepusha nchi na wimbi la tatu la corona
Dec 19, 2020 12:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja wimbi la tatu la corona hapa nchini kuwa kali sana na kueleza kuwa, umoja, maelewano na imani ya wananchi kwa wafanyakazi wa sekta ya afya vimeiepusha nchi na wimbi hilo la kutisha.
-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewalazimu maadui kusalimu amri
Dec 17, 2020 12:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja wa taifa la Iran ni sababu kuu ambayo imepelekea maadui wa Iran kusalimu amri.
-
Rais Rouhani: Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko huko nyuma
Dec 16, 2020 11:22Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma.