Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Iran na Russia kuendelea kushirikiana kuhusu mgogoro wa Syria

    Iran na Russia kuendelea kushirikiana kuhusu mgogoro wa Syria

    Aug 02, 2017 03:42

    Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuendelezwa mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria, sambamba na kupambana na magenge ya kigaidi.

  • Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani

    Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani

    Jul 29, 2017 03:20

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.

  • Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Jul 27, 2017 03:01

    Maneva ya kijeshi ya baharini kati ya Russia na China yalianza siku ya Jumanne ya tarehe 25 mwezi huu katika maji ya bahari ya Baltic.

  • Jumamosi, Julai 22, 2017

    Jumamosi, Julai 22, 2017

    Jul 21, 2017 21:57

    Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Mosi Shawwal 1438 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Julai mwaka 2017 Miladia.

  • Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea

    Japan: Tutaishawishi Russia isaidie katika kutatua mgogoro wa eneo la Korea

    Jul 11, 2017 03:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Japan, Norio Maruyama amesema kuwa, Tokyo na washirika wake wataishawishi Russia ili iweze kushiriki katika kutatuliwa mgogoro wa eneo la Korea.

  • China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    China na Russia zapinga utumiwaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 05, 2017 23:52

    China na Russia zimetangaza kupinga utumiaji njia za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini

  • Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Jul 02, 2017 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, madai mapya ya Marekani kulilenga jeshi la Syria kwamba, limetumia silaha za kemikali katika viunga vya mji wa Damascus, ni vita vya kisaikolojia na propaganda tu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Jun 29, 2017 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa ni lazima kushirikiana na serikali ya Rais Bashar Assad wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Jumamosi, 24 Juni, 2017

    Jumamosi, 24 Juni, 2017

    Jun 23, 2017 23:40

    Leo ni Jumamosi tarehe 29 Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe 24 Juni mwaka 2017 Miladia.

  • Lavrov akosoa harakati za Marekani dhidi ya Russia

    Lavrov akosoa harakati za Marekani dhidi ya Russia

    Jun 23, 2017 03:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa hatua ya Marekani ya kuiwekea nchi yake vikwazo vipya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS