-
Russia: Kuna uwezekano mkubwa kiongozi wa Daesh ameuawa
Jun 23, 2017 00:04Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi ameangamizwa.
-
Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo
Jun 14, 2017 21:59Huku mivutano kati ya Moscow na Washington ikiwa imepamba moto, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, Marekani inawaunga mkono magaidi wa Chechniya huko Kaukazia Kaskazini na kuwatumia magaidi hao kuvuruga usalama na utilivu wa Russia. Rais Putin amesema Idara za Intelijensia za Marekani zimewapa misaada ya kiintelijensia, kisiasa, kifedha na kadhalika magaidi Chechniya licha ya malalamiko na upinzani wa Moscow.
-
Jumatatu 12 Juni, 2017
Jun 11, 2017 21:04Leo ni Jumatatu tarehe 17 Ramadhani 1438 Hijria sawa na Juni 12, 2017.
-
Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia
Jun 07, 2017 02:46Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, iwapo Marekani itaamua kuingia katika vita vya nyuklia na nchi yake, hakuna upande utakaopona 'kusherehekea' ushindi.
-
Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
May 31, 2017 22:49Kwa mara nyingine tena Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu na nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Rouhani: Iran kuendeleza ushirikiano wa pande tatu na Russia, Syria
May 27, 2017 09:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza ushirikiano na Russia katika kuimarisha amani, uthabiti na mapambano dhidi ya ugaidi hasa nchini Syria.
-
Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi
May 23, 2017 11:25Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, baadhi ya nchi za eneo zinazofadhili na kuunga mkono ugaidi zinatumia mapato yao ya mafuta kuigeuza Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi na kushamirisha machafuko na vitendo vya ukatili.
-
Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri
May 17, 2017 23:57Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.
-
Balaklanev: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo cha demokrasia Mashariki ya Kati
May 17, 2017 03:11Mkuu wa jamii ya Waislamu wa Kishia nchini Russia amesisitiza kuwa, Iran ndiyo nchi yenye mfumo wa kidemokrasia zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo kilichofanikiwa cha utawala wa wananchi katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kuhani mmoja Mzayuni atimuliwa Russia
May 17, 2017 03:00Idara ya Mahakama ya Russia imemfukuza nchini humo kuhani mmoja Mzayuni aliyekuwa akifanya harakati za siri na kuendesha kituo maalumu cha misaada bila ya idhini ya nchi hiyo.