Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi

    Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi

    Apr 04, 2016 23:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.

  • Russia: Iran haijakiuka maazimio ya kimataifa

    Russia: Iran haijakiuka maazimio ya kimataifa

    Mar 30, 2016 21:50

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa nchi yake inapinga hatua yoyote ya kuweka vikwazo dhidi ya Iran kwa sababu Tehran haijakiuka azimio lolote kwa kufanya majaribio ya makombora.

  • Russia yatuma vikosi vya nchi kavu huko Syria

    Russia yatuma vikosi vya nchi kavu huko Syria

    Mar 24, 2016 10:37

    Kamanda mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Russia amesema kuwa nchi hiyo imetuma huko Syria kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya oparesheni ya upelelezi na kazi nyingine maalumu nchini humo.

  • Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki

    Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki

    Mar 19, 2016 00:01

    Watu 62 wamefariki dunia mapema leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Fly Dubai kuanguka wakati ikijaribu kutua katika mji wa Rostov-on-Don kusini mwa Russia karibu na mpaya wa nchi hiyo na Ukraine.

  • Mawaziri wa kigeni wa Iran na Russia wajadili kadhia ya Syria

    Mawaziri wa kigeni wa Iran na Russia wajadili kadhia ya Syria

    Mar 18, 2016 23:09

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazumgumzo ya simu kuhusu usitishwaji vita nchini Russia.

  • Lavrov: Kuondoka vikosi vya Russia  ni kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa kutatua mgogoro wa Syria

    Lavrov: Kuondoka vikosi vya Russia ni kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa kutatua mgogoro wa Syria

    Mar 16, 2016 04:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kuwa agizo lililotolewa na rais wa nchi hiyo la kutaka vikosi vya Russia kuondoka huko Syria halikutolewa ili kumfurahisha mtu, bali lengo la hatua hiyo ni kusaidia mchakato wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.

  • Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria

    Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria

    Mar 15, 2016 12:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitoa amri ya kuanza kuondoka vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilivyoko nchini Syria.

  • Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri

    Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri

    Mar 15, 2016 11:27

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.

  • Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Mar 15, 2016 03:37

    Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.

  • Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa

    Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa

    Mar 14, 2016 12:50

    Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema leo Jumatatu kuwa uingiliaji kijeshi huko Libya unawezekana iwapo tu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litaidhinisha suala hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS