-
Russia yataka kurejea Marekani na Troika ya Ulaya kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran
Nov 24, 2023 03:51Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa ameeleza kuwa, Moscow inazitaka Marekani na kundi la Troika ya Ulaya zirejee katika Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran.
-
Sputnik: Asilimia 50 ya vikosi vya jeshi la Ukraine ni mamluki wa nchi ajinabi
Nov 18, 2023 23:38Shirika la habari la Sputnik la Russia limeripoti kuwa matokeo kadhaa ya hujuma za redio katika masafa ya jeshi la Ukraine yanaonyesha kuwa asilimia 50 ya vikosi vya jeshi la Ukraine ni mamluki wa kigeni.
-
Kremlin: Russia haiwezi kushindwa katika medani ya vita
Nov 09, 2023 23:22Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema ni muhali kwa jeshi la Russia kushindwa katika medani ya vita.
-
Kiongozi wa upinzani: Zelensky atakuwa rais wa mwisho wa Ukraine
Nov 03, 2023 23:33Kiongozi wa zamani wa upinzani wa Ukraine amekosoa vikali mienendo ya Rais wa nchi hiyo, Volodymyr Zelensky na kusema kuwa, yumkini mwanasiasa huyo atakakuwa rais wa mwisho wa Ukraine.
-
EU yapata hasara ya dola trilioni 1.5 kwa vikwazo dhidi ya Russia
Nov 03, 2023 08:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya zimepoteza takriban dola trilioni 1.5 kutokana na vikwazo vya Wamagharibi dhidi ya Moscow.
-
Kremlin: Kuanzisha chombo bora badala ya Baraza la Usalama la UN kunahitaji mwafaka wa kimataifa
Nov 01, 2023 04:39Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia amekiri kwamba, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutekeleza majukumu yake. Dmitry Peskov ameyasema hayo akijadili fikra zilizopendekezwa kuhusu udharura wa kuanzishwa taasisi yenye ufanisi badala ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Kushtadi mvutano baina ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 30, 2023 23:05Mvutano baina ya Russia na utawala ghasibu wa Israel umeshadidi baada ya ziara ya wawakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini Moscow.
-
Umati wa watu wenye hasira wavamia uwanja wa ndege Russia kuzuia ndege za Israel zisitue
Oct 30, 2023 10:41Mamia ya watu wenye hasira wamevamia uwanja mkuu wa ndege katika eneo la Dagestan nchini Russia, wakipinga kutua ndege zinazotoka Israel wakati utawala huo haramu wa Kizayuni ukiwa unaendeleza mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ndege za kivita za Russia zashambulia maficho ya magaidi Idlib na Latakia nchini Syria
Oct 30, 2023 08:04Naibu mkuu wa Kituo cha Maridhiano cha Russia nchini Syria ametangaza kuwa jeshi la anga la Russia limefanya shambulio dhidi ya maficho ya chini ya ardhi ya makundi ya kigaidi katika miji ya Idlib na Latakia kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Oct 27, 2023 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeshindwa kupasisha azimio Katika hali ambayo wananchi wa Ukanda wa Ghaza bado wanakabiliwa na mashambulizi ya kinyama na ya kutisha ya utawala wa Kizayuni ambapo utawala huo unazuia kufikishwa misaada ya dharura katika eneo hilo.