Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Feb 17, 2023 23:07

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.

  • Russia, China na Afrika Kusini zatunisha misuli katika maneva ya pamoja ya kijeshi

    Russia, China na Afrika Kusini zatunisha misuli katika maneva ya pamoja ya kijeshi

    Feb 17, 2023 10:41

    Russia imetangaza kuwa itashiriki katika mazoezi ya pamoja ya wanamaji na nchi za China na Afrika Kusini katika Bahari ya Hindi.

  • Lukashenko: Belarus itaungana na Russia katika vita vya Ukraine ikishambuliwa

    Lukashenko: Belarus itaungana na Russia katika vita vya Ukraine ikishambuliwa

    Feb 16, 2023 23:19

    Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ameonya kuwa, iwapo nchi hiyo itashambuliwa, basi haitakuwa na budi kuungana na Russia katika vita dhidi ya Ukraine.

  • Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan

    Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan

    Feb 11, 2023 23:04

    Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."

  • Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq

    Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq

    Feb 10, 2023 00:36

    Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.

  • Spika wa Bunge la Russia: Rais Biden wa Marekani ni

    Spika wa Bunge la Russia: Rais Biden wa Marekani ni "gaidi" kwa kuamuru Nord Stream iripuliwe

    Feb 09, 2023 22:55

    Spika wa Bunge la Russia Vyacheslav Volodin amesema, Rais Joe Biden wa Marekani ni gaidi kutokana na kutoa amri ya kutekelezwa hujuma ya kubomoa muundombinu wa nishati barani Ulaya.

  • Indhari ya Antonio Guterres kuhusu kubadilika vita vya Ukraine na kuwa vita vya dunia

    Indhari ya Antonio Guterres kuhusu kubadilika vita vya Ukraine na kuwa vita vya dunia

    Feb 07, 2023 23:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.

  • Katibu Mkuu wa UN: Dunia inaelekea katika vita vikubwa zaidi

    Katibu Mkuu wa UN: Dunia inaelekea katika vita vikubwa zaidi

    Feb 07, 2023 02:56

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.

  • Russia: Tutatumia silaha zozote iwapo Ukraine itaishambulia Crimea

    Russia: Tutatumia silaha zozote iwapo Ukraine itaishambulia Crimea

    Feb 05, 2023 06:54

    Russia imetoa onyo kali na kusisitiza kuwa, shambulio lolote la Ukraine dhidi ya eneo la Crimea litaiepelekea Moscow kutumia 'silaha za aina yoyote' kujibu mapigo na kujilinda.

  • Palestina yafichua: Ulaya inatushinikiza tuchukue msimamo wa kuilaani Russia

    Palestina yafichua: Ulaya inatushinikiza tuchukue msimamo wa kuilaani Russia

    Feb 03, 2023 22:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefichua kuwa Ulaya inaishinikiza Palestina ichukue msimamo wa kuilaani Russia sambamba na kueleza kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa mwenzake wa Russia wa kuzuru Moscow.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS