-
Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake
Dec 04, 2022 00:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.
-
Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya
Dec 03, 2022 23:09Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.
-
Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine
Dec 02, 2022 22:53Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu, Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo
Dec 01, 2022 07:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)
-
Moscow yajibu mpango wa CIA wa kuwasajili raia wa Russia
Nov 24, 2022 06:43Ubalozi wa Russia mjini Washington umesema azma ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) ya kutaka kuwasajili raia wa Russia katika taasisi hiyo ni ithibati nyingine inayoonesha kuwa Marekani inafanya juu chini ili kuidhalilisha nchi hiyo. Hata hivyo ubalozi huo umesisitiza kuwa njama hizo za Washington hazitafua dafu.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qurani yamalizika Moscow, Russia
Nov 21, 2022 07:45Duru ya 20 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qurani Tukufu iliyoanza Ijumaa iliyopita katika mji mkuu wa Russia, Moscow imemalizika huku washindi wakitangazwa na kutuzwa.
-
Russia: Ukraine inawaua kikatili mateka wa kivita
Nov 20, 2022 23:03Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanafanya mauaji ya kikatili dhidi ya mateka wa kivita wa Russia.
-
Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran
Nov 19, 2022 08:22Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran.
-
Stoltenberg: Hakuna ishara Russia inapanga kuishambulia NATO
Nov 17, 2022 03:40Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa Russia inapanga kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi za NATO.
-
Madai ya shambulio la kombora la Russia dhidi ya Poland: Njama za kuzusha mgogoro mpya wa Magharibi dhidi ya Moscow
Nov 16, 2022 22:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetangaza kuwa: "Siku ya Jumanne alasiri, kombora la jeshi la Russia lilipiga kijiji cha "Przewodów" mashariki mwa Poland kilichoko umbali wa kilomita sita kutoka kwenye mpaka wa Ukraine, na kuua Wapoland wawili."