Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Trump azitaka Russia na Ukraine zisimamishe vita mahali zilipo sasa hivi kwenye medani ya mapigano

    Trump azitaka Russia na Ukraine zisimamishe vita mahali zilipo sasa hivi kwenye medani ya mapigano

    Oct 20, 2025 06:10

    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Russia na Ukraine kusimamisha vita katika mstari wa mapigano zilipo hivi sasa, pendekezo ambalo litaiwezesha Moscow kuhodhi sehemu kubwa ya maeneo ya ardhi ya Ukraine.

  • Putin amuonya Trump kuhusu kuipa Ukraine makombora ya Tomahawk

    Putin amuonya Trump kuhusu kuipa Ukraine makombora ya Tomahawk

    Oct 17, 2025 03:35

    Rais wa Russia, Vladimir Putin amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump katika mazungumzo yao ya simu kwamba, kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu ya Tomahawk kutaharibu zaidi uhusiano kati ya Moscow na Washington.

  • Lavrov: Nchi za Magharibi zinachochea migawanyiko Afrika

    Lavrov: Nchi za Magharibi zinachochea migawanyiko Afrika

    Oct 15, 2025 08:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kivuli cha ukoloni kinasalia kuwa chanzo kikuu cha migogoro barani Afrika, na wakoloni wa zamani, sasa hivi wanajaribu kukwepa uwajibikaji kwa kuilaumu Moscow.

  • Putin: Israel imeniomba niipe Iran ujumbe kwamba haitaki vita

    Putin: Israel imeniomba niipe Iran ujumbe kwamba haitaki vita

    Oct 10, 2025 02:44

    Rais wa Russia, Vladmir Putin amesema viongozi wa Israel wamemtaka aieleze Iran kwamba, utawala huo haufuatilii vita na makabiliano zaidi na Iran, na una hamu ya kupunguza mvutano.

  • Russia: Kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inafadhili ugaidi katika nchi kadhaa za Afrika

    Russia: Kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inafadhili ugaidi katika nchi kadhaa za Afrika

    Oct 09, 2025 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inayasaidia makundi ya wanamgambo na ya kigaidi katika eneo la Sahara-Sahel barani Afrika, ikiwa ni pamoja na kuyasambazia ndege zisizo na rubani,

  • Putin aonya: Kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk kutavuruga uhusiano wa Russia na Marekani

    Putin aonya: Kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk kutavuruga uhusiano wa Russia na Marekani

    Oct 05, 2025 22:52

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora aina ya Tomahawk ili kufanyia mashambulio ya masafa marefu ndani ya Russia, hatua hiyo itapelekea kuvurugika husiano wa Moscow na Washington.

  • Putin: Russia ina umuhimu mkubwa sana kwa nidhamu ya kimataifa, njama za kuitenga zimefeli

    Putin: Russia ina umuhimu mkubwa sana kwa nidhamu ya kimataifa, njama za kuitenga zimefeli

    Oct 03, 2025 23:04

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, mizani ya usawa wa kimataifa haiwezi kujengwa bila ya nchi yake na akaongeza kuwa majaribio ya kuitenga Russia katika miaka ya hivi karibuni yamefeli.

  • FIFA iliyoipiga marufuku Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine yasema haiwezi kuchukua hatua dhidi ya Israel

    FIFA iliyoipiga marufuku Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine yasema haiwezi kuchukua hatua dhidi ya Israel

    Oct 03, 2025 07:04

    Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino amesema, taasisi hiyo haiwezi kutatua ‘masuala ya kijiopolitiki’, licha ya kuendelea kuandamwa na mashinikizo kimataifa ya kuitaka isimamishe uanachama wa Israel kutokana na vita vya kinyama na mauaji ya kimbari unayoendelea kufanya utawala huo wa kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ghaza, ambayo hadi sasa yameshateketeza roho za watu zaidi ya 65,000, wengi wao wakiwa wanawake na watoto.

  • Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN

    Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN

    Oct 01, 2025 23:09

    Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Russia: Hatutashiriki kwenye mpango wa Trump kuhusu Gaza

    Russia: Hatutashiriki kwenye mpango wa Trump kuhusu Gaza

    Sep 30, 2025 23:03

    Sambamba na kusisitizia utayarifu wa Russia wa kutatua mgogoro wa Asia Magharibi, Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesisitiza kuwa Moscow haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani juu ya Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS