-
Khatibzadeh: Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo za Marekani
Mar 07, 2022 08:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo na si kwa mujibu wa jumbe zisizo wazi za Marekani katika mazungumzo ya Vienna.
-
Ulyanov: Ziara ya Rafael Grossi nchini Iran imefanikiwa
Mar 07, 2022 00:47Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna, Austria amesema kuwa safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) nchini Iran imefanikiwa.
-
Russia yakishambulia kituo cha anga cha Ukraine kwa silaha za masafa marefu
Mar 06, 2022 08:03Russia imesema kuwa imekipiga na kukilemaza kituo cha kijeshi cha Ukraine cha Starokostiantyniv kwa kutumia silaha za masafa marefu zenye kulenga kwa umakini, huku mgogoro kati ya nchi mbili hizo vikiingia katika siku yake ya 11.
-
Ripoti: Yamkini mgogoro wa Ukraine ukaiingiza Marekani na Russia vitani
Mar 06, 2022 04:28Huku Marekani na waitifaki wake wakiendelea kuichochea Ukraine ili ikabiliane na oparesheni za kijeshi za Russia ndani ya nchi hiyo, maafisa wa Marekani wameingiwa na wasiwasi mkubwa kuwa kuna uwezekano wa makabiliano baina ya wanajeshi wa Russia na Marekani na hilo linaweza likapelekea kuibuka vita vikubwa baina ya pande hizo.
-
Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine
Mar 06, 2022 01:19Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.
-
Borell apendekeza China iwe mpatanishi kati ya Russia na Ukraine
Mar 06, 2022 00:52Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amependekeza nchi ya tatu iwe mpatanishi wa kumaliza mivutano kati ya Russia na Ukraine.
-
Spika wa Bunge la Russia: Rais wa Ukraine amekimbilia Poland
Mar 05, 2022 04:02Spika wa Bunge la Russia maarufu kwa jina la Duma amesema kuwa, Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amekimbilia nchi jirani ya Poland.
-
Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine
Mar 04, 2022 04:34Wakazi wa mji mkuu wa Lebanon, Beirut wamefanya maandamano wakishirikiana na Warussia wanaoishi nchini humo wakiunga mkono operesheni ya Jeshi la Russia dhidi ya "mafashisti wa Ukraine".
-
Russia: Tumeangamiza zaidi ya vituo 1,300 vya kijeshi vya Ukraine katika siku ya sita ya vita
Mar 02, 2022 03:51Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa katika siku ya sita ya opereseheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imeangamiza vituo zaidi ya 1,300 vya kijeshi vya Ukraine na aina kwa aina ya miundombinu ya kijeshi ya nchi hiyo.
-
Raia wa Russia wakwama na kutangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya
Mar 02, 2022 00:06Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa, raia wa nchi hiyo wanatangatanga katika viwanja vya ndege vya nchi za Ulaya kufuatia uamuzi wa Umoja wa Ulaya kuiwekea Russia vikwazo vya anga.