-
Russia: Marekani inapasa kuomba radhi kwa kumtukana Putin
Mar 19, 2021 02:35Naibu Mkuu wa Baraza la Shirikisho (Bunge la Seneti la Russia) ametangaza kuwa, Marekani inapaswa kuomba radhi kwa hatua yake ya kumtukana Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Russia: Marekani haina haki ya kuwafunza wengine akhlaqi
Mar 03, 2021 08:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi hiyo na kueleza kuwa, Marekani haina haki na haistahili kutoa darsa ya akhlaqi kwa nchi nyingine kutokana na hatua yake ya kujitoa kwa upande mmoja katika mikataba na makubaliano mbalimbali ya kimataifa yanayohusu kudhibiti na kupiga marufuku uenezaji wa silaha za maangamizi duniani.
-
Moscow: Marekani na Ulaya zikome kuingia masuala ya ndani ya Russia
Feb 18, 2021 07:08Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetangaza kuwa misimamo ya maafisa wa nchi za Magharibi kuhusiana na takwa la kuachiwa huru mpinzani wa serikali ya Moscow anayeshikiwa na vyombo vya dola ni kielelezo cha uingiliaji kati katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Putin: Mfumo wa dunia unabadilika, Marekani nayo itasombwa na mabadiliko hayo
Oct 23, 2020 11:00Rais wa Russia amesema kuwa udhibiti wa madola makubwa duniani umefikia kikomo na kwamba Moscow itajibu hatua yoyote ile ya kihasa na serikali ya Washington.
-
Makubaliano ya awali baina ya Russia na Marekani ya kuendeleza mkataba wa New START
Oct 10, 2020 09:30Baada ya Donald Trump kushika madaraka ya nchi huko Marekani mwaka 2017, nchi hiyo ilianza kujiondoa katika makubaliano ya kudhibiti silaha. Kwa sasa mkataba pekee uliobakia wa New START pia unakabiliwa na hatari ya kusambaratika.
-
Russia yatahadharisha kuhusu hatua mbaya za Marekani huko Syria
Oct 06, 2020 07:26Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia ametahadharisha kuhusu maafa ya mienendo ya Marekani na Wakurdi wa Syria na kusisitiza ulazima wa kuzuia hatua yoyote inayotaka kuigawa ardhi ya nchi hiyo.
-
Putin: Kujiondoa Marekani katika mkataba wa makombora kumeilazimisha Moscow kuunda makombora ya hypersonic
Sep 20, 2020 02:40Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa hatua ya Marekani ya kujiondoa katika mkataba wa makombora hapo mwaka 2002 iliilazimisha Moscow kuanza mchakato wa kustawisha silaha zenye kasi kubwa kuliko sauti, (hypersonic missile).
-
Ulyanov: Jamii ya kimataifa imepuuza madai ya Marekani dhidi ya Iran
Sep 20, 2020 02:39Mwakilishi wa Russia katika jumuiya za kimataifa mjini Vienna ameunga mkono barua iliyotumwa na Troika ya Ulaya katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu suala la kusitishwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran na kusema jitihada zinazofanywa na Marekani kwa ajili ya kurefusha muda wa vikwazo hivyo hazina mashiko wala mantiki.
-
Russia yajibu vitisho vya makombora vya Marekani
Aug 04, 2020 06:49Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia imetangaza kuwa, nchi hiyo haitafumbia jicho vitisho vya makombora ya Marekani.
-
Moscow yatahadharisha kuhusu vikwazo vya Marekani dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Chechniya
Jul 21, 2020 10:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuwa Moscow itatoa jibu kwa vitisho vya Washington dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Chechniya inayojiendeshea mambo yake yenyewe.