-
Rwanda yafunga maelfu ya makanisa ya kiinjili
Dec 22, 2025 10:37Rwanda imefunga zaidi ya makanisa 10,000 ya kiinjilisti kwa kushindwa kufuata sheria ya mwaka 2018 iliyoanzishwa kwa ajili ya kusimamia maeneo ya ibada.
-
Benki Kuu ya Ufaransa yahusishwa na mauaji ya kimbari ya Watutsi ya 1994 nchini Rwanda
Dec 12, 2025 10:11Wanaharakati wa haki za kibinadamu na watafiti mbalimbali wameituhumu Benki Kuu ya Ufaransa kwamba ilihusika kwa namna moja katika matukio yaliyopelekea kutokea mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda dhidi ya jamii ya Watutsi.
-
Rwanda yayatuhumu majeshi ya Kongo na Burundi kwa kukiuka makubaliano ya amani ya Washington
Dec 11, 2025 03:32Rwanda imeyatuhumu majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi kuwa yamekiuka usitishaji mapigano kwa mujibu wa makubaliano ya amani yaliyofikiwa karibuni huko Washington kwa lengo la kuhitimisha hali ya mchafukoge mashariki mwa Kongo.
-
DRC: M23 ikisaidiwa na jeshi la Rwanda inasonga mbele kuelekea Kivu, imeteka mji wa kimkakati
Dec 08, 2025 06:31Duru za serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetangaza kuwa, waasi wa M23, wakisaidiwa na jeshi la Rwanda wanaendelea kusonga mbele kuelekea eneo la Kivu Kusini.
-
Marais wa DRC na Rwanda wasaini makubaliano chini ya upatanishi wa US huku mapigano yakiendelea
Dec 05, 2025 07:10Rais wa Marekani Donald Trump amewasifu marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda kwa kile alichokiita "ujasiri" wao wa kusaini makubaliano mapya yanayolenga kukomesha mzozo wa muda mrefu mashariki mwa Kongo DR na kufungua njia ya kuchotwa rasilimali muhimu za madini katika eneo hilo na Marekani na makampuni ya Kimarekani.
-
Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'
Dec 02, 2025 06:23Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Dkt. Denis Mukwege amelaani mchakato wa amani unaoendelea kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M23 unaolenga kukomesha mapigano mashariki mwa DRC.
-
Rais wa Rwanda akadhibisha ripoti zinazolihusisha jeshi na mauaji mashariki mwa Kongo
Aug 26, 2025 15:12Rais Paul Kagame wa Rwanda amekadhibisha ripoti kwamba jeshi la nchi hiyo lilihusika katika mauaji mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wakimbizi wa Rwanda zaidi ya 500 warejea nchini kutoka Kongo
Aug 26, 2025 02:49Wakimbizi wa Kinyarwanda zaidi ya 500 jana Jumatatu walirejea nyumbani wakitokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ni suluhu au ushindani wa kiuchumi? Kongo, Rwanda na maslahi ya kimkakati ya Marekani
Apr 28, 2025 02:22Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda wametia saini makubaliano ya kimsingi ya amani, kwa upatanishi wa Marekani.
-
Kagame azihutubu nchi zinazoiwekea Rwanda vikwazo: Nendeni kuzimu
Apr 08, 2025 06:55Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.