-
Rwanda yapiga marufuku mashirika, asasi kushirikiana na Ubelgiji
Mar 28, 2025 07:24Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi nchini humo kushirikiana na serikali ya Ubelgiji na mashirika yake tanzu.
-
Rwanda yakaribisha uamuzi wa waasi wa M23 kuondoka katika mji wa Walikale
Mar 24, 2025 08:05Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini wa Walikale na kukaribisha pia juhudi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kusitisha uhasama katika mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kagame akosoa kimya cha Magharibi kuhusu FDLR; aisuta Ubelgiji
Mar 17, 2025 11:41Rais wa Rwanda, Paul Kagame amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kueneza 'simulizi potofu' kwamba Kigali inawaunga mkono waasi wa M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kwa nini Rwanda imeitaka Uingereza iilipe fidia?
Mar 07, 2025 10:34Suala la madai ya Rwanda ya fidia ya pauni milioni 50 kutoka kwa Uingereza kwa kuacha mpango wa kuwafukuza wakimbizi haramu nchini humo sasa limekuwa kadhia tata na ngumu kati ya nchi hizo mbili.
-
Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake
Feb 22, 2025 11:58Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rwanda: Vikwazo vya Marekani si halali, havina msingi wowote
Feb 21, 2025 07:11Serikali ya Kigali imelaani vikali hatua ya Wizara ya Hazina (Fedha) ya Marekani ya kumwekea vikwazo Waziri wa Utangamano wa Kieneo wa Rwanda, Jenerali (Mstaafu) James Kabarebe, kwa tuhuma za kuhusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kongo yapiga marufuku ndege kutoka Rwanda
Feb 13, 2025 02:52Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za serikali zilizosajiliwa au zile makazi yake nchini Rwanda.
-
Mgonjwa 'wa mwisho' wa Marburg Rwanda aruhusiwa kuondoka hospitalini
Nov 10, 2024 06:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya mwezi mmoja baada ya Rwanda kutangaza mripuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg, hatimaye mamlaka ya afya katika nchi hiyo ya Kiafrika imemruhusu mgonjwa wa mwisho kuondoka hospitalini.
-
Rwanda yazindua kampeni ya chanjo ya Marburg
Oct 07, 2024 02:20Rwanda imeanza kutoa dozi za chanjo ya virusi vya Marburg ili kujaribu kudhibiti mripuko wa ugonjwa huo unaofanana na Ebola katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
WHO kuisaidia Rwanda kukabiliana na mripuko wa kwanza wa Marburg
Sep 30, 2024 02:25Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Rwanda katika kupambana na mripuko wa kwanza wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg (MVD).