-
Rais wa Kongo ataka Rwanda iwekewe vikwazo kwa hatua yake ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Sep 26, 2024 11:28Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Rwanda vikwazo kwa tuhuma za kuliunga mkono kundi la waasi la M23.
-
Rais Kagame ahifadhi kiti chake, ashinda uchaguzi kwa 99%
Jul 16, 2024 07:20Matokeo ya awali ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Rwanda (NEC) yanaonyesha kuwa, Rais Paul Kagame yuko kifua mbele kwa kuzoa asilimia 99.15 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumatatu.
-
DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda
Jul 14, 2024 06:48Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) huenda kikalazimika kuakhirisha mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake katika mkoa unaokumbwa na vita wa Kivu Kaskazini kutokana na kuwepo kwa askari wa Rwanda mashariki mwa DRC.
-
Rwanda: Tumezingatia nia ya Uingereza ya kusitisha mpango tata wa uhamiaji
Jul 09, 2024 07:35Rwanda jana ilisema kuwa imetilia maanani nia ya serikali ya Uingereza ya kusimamisha mpango tata wa uhamiaji ambao ulisainiwa na nchi mbili hizo kwa lengo la kuwazuia wahamiaji haramu kuingia Uingereza kupitia mfereji wa maji unaozitenganisha nchi mbili za Uingereza na Ufaransa kwa kutumia boti ndogo za usafiri.
-
Ripoti ya UN: Wanajeshi wa Rwanda wanapigana pamoja na waasi wa M23 huko Kongo
Jul 09, 2024 02:26Ripoti ya karibuni iya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa kati ya wanajeshi 3,000 hadi 4,000 wa Rwanda wanapigana bega kwa bega na waasi wa kundi la M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku Kigali ikiongoza pakubwa oparesheni za kundi hilo.
-
Rwanda yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea 3 wa urais na zaidi ya wagombea 500 wa ubunge
Jun 16, 2024 06:11Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda imetangtaza orodha ya mwisho ya wagombeaji wa uchaguzi wa rais na wabunge uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
-
Mwanasiasa mkongwe wa Uingereza: Sheria ya Rwanda inaharibu sifa ya Uingereza
Apr 30, 2024 11:10Alfred Dubs mwanasiasa mkonge ambaye ni mjumbe katika Bunge la Malodi la Uingereza amesema kuwa mpango wa kuhamishia nchini Rwanda kutoka Uingereza raia wanaotafuta hifadhi si sahihi na hautafanikiwa.
-
Sunak: Safari za kwanza za ndege kuelekea Rwanda za wanaotafuta hifadhi zitaanza baada ya wiki 10 hadi 12
Apr 23, 2024 03:08Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak, ameahidi kwamba safari za kwanza za ndege za nchi hiyo za raia wa nchi mbalimbali wanaotafuta hifadhi zitaanza kuondoka Uingereza kuelekea Rwanda baada ya wiki 10-12.
-
Kagame ailaumu jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda
Apr 08, 2024 02:39Rais Paul Kagame wa Rwanda ameilaumu jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kuzuia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini humo. Rais Kagame alibainisha haya jana wakati Wanyarwanda walipoadhimisha miaka 30 tangu kujiri mauaji hayo ya kutisha ambapo Wahutu wenye misimamo mikali waliwauwa Watutsi wasiopungua laki nane.
-
Jumamosi tarehe 6 Aprili 2024
Apr 06, 2024 03:10Leo ni Jumamosi tarehe 26 Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Aprili 2024.