Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Macron: Ufaransa na washirika wake wangeweza kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Macron: Ufaransa na washirika wake wangeweza kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Apr 05, 2024 07:51

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron jana Alhamisi alieleza kuwa Ufaransa na washirika wake wangeweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 lakini hawakuwa na nia ya kufanya hivyo. Weledi wa mambo wametaja matamshi haya ya Macron kuwa tangazo kali la kuungama kabla ya Rwanda kuadhimisha kutimia miaka 30 tangu nchi hiyo ikumbwe na mauaji ya kimbari ambapo Watutsi na wahutu wenye misimamo ya wastani zaidi ya laki nane waliuawa.

  • Kagame: Rwanda haijahusika kivyovyote na mapigano mashariki ya DRC

    Kagame: Rwanda haijahusika kivyovyote na mapigano mashariki ya DRC

    Jan 24, 2024 03:37

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema nchi hiyo haijahusika kivyovyote na mapigano na ghasia zinazoendelea kushuhudiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Waziri Mkuu wa UK: Nitapuuza sheria ya kimataifa kuhusu kuwapeleka wahamiaji Rwanda

    Waziri Mkuu wa UK: Nitapuuza sheria ya kimataifa kuhusu kuwapeleka wahamiaji Rwanda

    Jan 20, 2024 04:02

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameendelea kung'ang'ania mpango wa serikali ya London wa kuhamishia waomba hifadhi nchini Rwanda, akisisitiza kuwa yuko tayari kupuuza sheria ya kimataifa ambayo imezuia kwa muda utekelezaji wa mpango huo tata.

  • Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda baada ya shambulio la waasi

    Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda baada ya shambulio la waasi

    Jan 12, 2024 07:20

    Burundi imetangaza kuwa imefunga mpaka wake na Rwanda kuanzia jana Alkhamisi kwa muda usiojulikana.

  • Rais wa DRC amfananisha Rais Kagame na Adolf Hitler

    Rais wa DRC amfananisha Rais Kagame na Adolf Hitler

    Dec 10, 2023 03:03

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemshabihisha mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame na mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.

  • Mahakama: Ni kinyume cha sheria kwa UK kuwapeleka Rwanda watafuta hifadhi

    Mahakama: Ni kinyume cha sheria kwa UK kuwapeleka Rwanda watafuta hifadhi

    Nov 15, 2023 14:56

    Mahakama ya Juu ya Uingereza imesema mpango wa serikali ya London wa kuwapeleka nchini Rwanda wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo unakiuka sheria.

  • Mahakama Kuu Uingereza kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa kupelekwa Rwanda waomba hifadhi

    Mahakama Kuu Uingereza kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa kupelekwa Rwanda waomba hifadhi

    Nov 10, 2023 09:45

    Mahakama Kuu ya Uingereza wiki ijayo itatoa uamuzi iwapo mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kuwapeleka nchini Rwanda, wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo ni halali au la.

  • Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Oct 22, 2023 06:26

    Rwanda imetuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza, kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina waliohasiriwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.

  • Marekani yatangaza kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Rwanda; DRC yapongeza

    Marekani yatangaza kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Rwanda; DRC yapongeza

    Sep 22, 2023 07:58

    Marekani imetangaza kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Rwanda kwa tuhuma kwamba Kigali inawatumia watoto kama wanajeshi na kuunga mkono waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

  • Mnyarwanda akiri kuua watu 14 baada ya maiti 12 kukutwa zimezikwa jikoni kwake

    Mnyarwanda akiri kuua watu 14 baada ya maiti 12 kukutwa zimezikwa jikoni kwake

    Sep 22, 2023 07:08

    Raia wa Rwanda Denis Kazungu amekiri kosa la kuua watu 14 wengi wao wakiwa wanawake na kuficha miili yao ndani ya nyumba yake mjini Kigali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS