-
SAUTI, Hadi sasa serikali ya Rwanda bado haijasajili kifo wala kuwa na mgonjwa aliyelazwa ICU kwa virusi vya Corona
Apr 20, 2020 16:25Serikali ya Rwanda imesema inatathmini uwezekano wa kulifanya suala la kuvaa barakoa kuwa la lazima kwa raia wa nchi hiyo ikiwa ni jitihada mpya za kupambana na virus hatari vya Corona.
-
Licha ya kupita miaka 26 ya mauaji ya kimbari Rwanda, bado athari zake zingalipo + Sauti
Apr 09, 2020 13:13Wakati Rwanda ikiendelea kuomboloza mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Watutsi ya mwaka 1994, bado kuna walionusurika na mauaji ambao wanaendelea kuishi na msongo wa mawazo kutokana na athari za mauaji hayo. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaongeza zuio la siku 15 zaidi la kutotoka nje ili kukabiliana na virusi vya Corona
Apr 02, 2020 17:22Serikali ya Rwanda imeongeza siku za zuio la raia wake kutotoka majumbani kwao kwa muda wa siku 15 zaidi.
-
Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda
Mar 27, 2020 15:33Janga la ugonjwa wa COVID19 na virusi vya corona linaloisumbua dunia limeendelea kulinyemea kwa kasi kubwa bara la Afrika baada ya Rwanda kuripoti maambukizi mapya 9 ya virusi hivyo.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yapiga marufuku safari zote za ndege kuanzie kesho Ijumaa, kuzuia maambukizi ya Corona
Mar 19, 2020 16:41Serikali ya Rwanda imepiga marufuku ya siku 30 kwa safari zote za ndege zinazoingia au kutoka nchini humo katika juhuzi za kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Corona yaingia Rwanda, virusi hivyo vyasababisha shule kufungwa Kenya
Mar 15, 2020 15:44Serikali ya Rwanda imethibitisha kuwa na mgonjwa mmoja aliyeambukizwa virusi vya Corona, huku ugonjwa huo ukiendelea kuenea kwa kasi katika nchi za Afrika na kote duniani kwa ujumla.
-
Uganda yamkamata jenerali wa zamani wa jeshi kwa tuhuma za kutaka kumpindua Museveni
Mar 13, 2020 12:49Jeshi la Polisi Uganda limetangaza leo Ijumaa habari ya kumtia mbaroni jenerali wa zamani wa jeshi la nchi hiyo kwa madai ya kuomba msaada na uungaji mkono wa Rwanda ili kumuondoa madarakani Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo.
-
Rwanda yasitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda
Feb 20, 2020 12:16Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda imetangaza kuwa, nchi hiyo imesitisha mashtaka dhidi ya raia 17 wa Uganda waliokamatwa nchini humo.
-
Kagame: Siwezi kuwavumilia wezi na watu wasio na nidhamu serikalini + Sauti
Feb 18, 2020 11:13Wiki moja baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake watatu, Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kwa mara nyingine tena kwamba hatavumilia hata kidogo viongozi wasio na nidhamu katika serikali yake. Ndani ya wiki moja tu Rais Paul Kagame amewafuta mawaziri watatu kutokana na makosa ya ulaji rushwa, udanganyifu pamoja na ukosefu wa nidhamu mbele ya wananchi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi
-
Jeshi la DRC laikabidhi Rwanda waasi 71 wa Kihutu
Dec 22, 2019 14:07Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeikabidhi Rwanda mamia ya Wanyarwanda wanaohusishwa na kundi moja la waasi la Rwanda linaloendesha harakati zake mashariki mwa DRC.