-
SAUTI, Mkatasa wa kukwama mazungumzo kati ya Rwanda na Uganda, licha ya nchi kadhaa kujitahidi kufanya upatanishi
Dec 14, 2019 16:34Mazungumzo kati ya wajumbe wa Rwanda na Uganda yaliyofanyika jana Ijumaa nchini Uganda yalimalizika bila kufikiwa natija iliyokuwa ikitarajiwa.
-
Mazungumzo ya Uganda na Rwanda yagonga mwamba
Dec 14, 2019 08:08Mkutano wa wajumbe wa Rwanda na Uganda uliofanyika jana Ijumaa jijini Kampala haujakuwa na tija.
-
Rwanda: Tunafuatilia kadhia ya kukamatwa mamia ya raia wetu Uganda
Nov 26, 2019 14:55Balozi wa Rwanda jijini Kampala amesema wanafuatilia kwa karibu habari ya kukamatwa mamia ya Wanyarwanda na maafisa usalama wa Uganda, katika mji wa Kisoro, magharibi mwa Uganda.
-
Burundi: Waasi wa Rwanda ndio wamewaua askari wetu 8 na kuwajeruhi wengine
Nov 19, 2019 16:26Wizara ya Ulinzi pamoja na duru za kijeshi za Burundi zimetangaza kwamba askari wanane wa nchi hiyo wameuawa katika shambulio lililotokea karibu na mpaka wa Rwanda.
-
Jeshi la Congo lamuua kiongozi wa tawi la waasi wa FDLR kutoka Rwanda
Nov 11, 2019 03:40Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa limemuua kiongozi wa tawi lililojitenga la kundi la waasi wa Kihutu la Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) mashariki mwa nchi hiyo.
-
SAUTI, Hivi karibuni Rwanda itaanza kuzalisha magari ya kisasa yanayotumia umeme
Oct 30, 2019 04:46Katika juhudi za maendeleo nchi ya Rwanda itaanza kuunganisha magari yanayotumia umeme.
-
UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya
Oct 12, 2019 07:57Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.
-
SAUTI, Vijana elfu 10 wa nchi za Afrika wakutana mjini Kigali, Rwanda kujadili mustakbali wao ndani ya bara hilo
Oct 11, 2019 16:25Jumla ya Vijana 10,000 kutoka nchi zote za Kiafrika na baadhi ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ulimwenguni wanakutana mjini Kigali, Rwanda.
-
Watu 8 wauwa karibu na mbuga ya wanyama nchini Rwanda
Oct 05, 2019 14:29Watu wanane wameuawa katika shambulizi la watu waliobeba silaha karibu na mbuga ya wanyama ya Volcanoes kaskazini mwa Rwanda.
-
Chama cha FDU-Inkingi cha Rwanda: Kuuawa kwa visu kiongozi wetu hakutotunyamazisha
Sep 25, 2019 07:54Chama cha upinzani cha FDU-Inkingi cha nchini Rwanda kimesema kuwa, kupigwa visu hadi kufa afisa mwandamizi wa chama hicho, hakutowanyamazisha na wataendelea na kampeni yao ya kuikosoa serikali ya Rais Paul Kagame.