-
SAUTI, Vijana elfu 10 wa nchi za Afrika wakutana mjini Kigali, Rwanda kujadili mustakbali wao ndani ya bara hilo
Oct 11, 2019 12:55Jumla ya Vijana 10,000 kutoka nchi zote za Kiafrika na baadhi ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ulimwenguni wanakutana mjini Kigali, Rwanda.
-
Watu 8 wauwa karibu na mbuga ya wanyama nchini Rwanda
Oct 05, 2019 10:59Watu wanane wameuawa katika shambulizi la watu waliobeba silaha karibu na mbuga ya wanyama ya Volcanoes kaskazini mwa Rwanda.
-
Chama cha FDU-Inkingi cha Rwanda: Kuuawa kwa visu kiongozi wetu hakutotunyamazisha
Sep 25, 2019 04:24Chama cha upinzani cha FDU-Inkingi cha nchini Rwanda kimesema kuwa, kupigwa visu hadi kufa afisa mwandamizi wa chama hicho, hakutowanyamazisha na wataendelea na kampeni yao ya kuikosoa serikali ya Rais Paul Kagame.
-
Kiongozi wa wasi wa FDLR kutoka Rwanda auawa huko Congo DR
Sep 19, 2019 03:10Kiongozi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda aliyekuwa akisakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita ameuawa kwa kipigwa risasi na askari wa jeshi la Congo.
-
Rwanda na Uganda zaahidi kufungamana na Makubaliano ya Luanda
Sep 17, 2019 09:22Rwanda na Uganda kwa mara nyingine tena zimesisizia umuhimu wa kufungamana na Makubaliano ya Luanda yanayozitaka nchi mbili hizo jirani zijizuie na vitendo vyovyote vya uhasama.
-
Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya
Sep 11, 2019 02:31Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza mapatano ya Uganda na Rwanda
Aug 23, 2019 22:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekaribisha kusainiwa makubaliano ya maelewano baina ya marais wa Uganda na Rwanda, yanayolenga kurejesha uhusiano wa pande mbili katika hali ya kawaida.
-
Rwanda yafunga mpaka wake na Congo DR kwa kuhofia virusi vya Ebola
Aug 01, 2019 08:18Serikali ya Rwanda imefunga mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kugunduliwa kesi ya tatu ya muathirika wa virusi vya ugonjwa wa Ebola katika mji wa mpakani wa Goma.
-
SAUTI, Rwanda yaitaka Uganda itoe maelezo ya kina, kwa nini raia wake 40 waliokuwa kanisani walikamatwa na kuteswa
Jul 26, 2019 10:42Wiki mbili baada ya nchi za Angola na Jamhuri ya Kidemokarsia ya kongo kutangaza kuwa wapatanishi katika mzozo unaoendelea kufukuta kati ya nchi za Uganda na Rwanda, serikali Kampala, imewatia mbaroni zaidi ya raia 40 wa Rwanda kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Rwanda haijakanusha wala kuthibitisha taarifa za kuingia Ebola nchini humo + Sauti
Jul 19, 2019 01:34Serikali ya Rwanda haijathibitisha wala kukanusha taarifa kuhusu mwanamke mmja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola wiki iliyopiwa alikuwa ameingia Rwanda kabla ya kuelekea Uganda au la. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...