Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    Jul 18, 2019 07:31

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mwanamke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaga dunia mapema mwezi huu kutokana na homa hatari ya Ebola aliingia nchini Rwanda akiwa ameathiriwa na ugonjwa huo na huenda alisambaza virusi hivyo nchini humo kabla ya kuelekea nchini Uganda alikofia.

  • Polisi wawashikilia watuhumiwa 10 utekaji watu Rwanda + Sauti

    Polisi wawashikilia watuhumiwa 10 utekaji watu Rwanda + Sauti

    Jun 27, 2019 04:29

    Polisi mjini Kigali Rwanda inawashikilia watu kumi na saba wakiwemo Wanyarwanda 15 na Wakenya wawili kwa shutuma za kuwatapeli vijana zaidi ya elfu tatu wakiwaahidi ajira hewa za ujasiriamali. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi...

  • Rwanda yaitaka Burundi iwashughulike wahalifu 6,000 wa mauaji ya kimbari

    Rwanda yaitaka Burundi iwashughulike wahalifu 6,000 wa mauaji ya kimbari

    Jun 07, 2019 03:38

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Rwanda Jean Mutangana ametoa wito kwa nchi jirani ya Burundi kushughulikia watu ambao amedai walihusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda dhidi ya Watutsi.

  • SAUTI, Serikali ya Rwanda imepitisha muswada wa sheria inayofuta sheria zote zilizotungwa wakoloni

    SAUTI, Serikali ya Rwanda imepitisha muswada wa sheria inayofuta sheria zote zilizotungwa wakoloni

    Jun 06, 2019 12:41

    Bunge nchini Rwanda limepitisha muswada wa sheria ambao unalenga kufuta sheria zote zilizotungwa kabla na wakati wa ukoloni.

  • SAUTI, Rais Paul Kagame wa Rwanda: Wale wanaokusudia kuchafua amani yetu tutawanasa popote walipo duniani, ni muda tu

    SAUTI, Rais Paul Kagame wa Rwanda: Wale wanaokusudia kuchafua amani yetu tutawanasa popote walipo duniani, ni muda tu

    May 09, 2019 00:23

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, wale wote wanaokusudia kuchafua usalama na amani ya Rwanda watanaswa na serikali ya Kigali popote pale walipo duniani.

  • Wanamgambo kadhaa wa Rwanda wakamatwa nchini Burundi

    Wanamgambo kadhaa wa Rwanda wakamatwa nchini Burundi

    May 01, 2019 03:23

    Serikali ya Burundi imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanamgambo saba wa Rwanda na kisha kuwakabidhi kwa serikali ya Kigali.

  • Rwanda yamkamata kinara wa kundi la waasi la NFL

    Rwanda yamkamata kinara wa kundi la waasi la NFL

    Apr 30, 2019 22:05

    Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa imemkamata mtu anayejitaja kuwa mkuu wa kundi la waasi la National Liberation Force (NLF)

  • New Zealand, nchi ya kwanza kuikabidhi Rwanda nyaraka za mauaji ya kimbari

    New Zealand, nchi ya kwanza kuikabidhi Rwanda nyaraka za mauaji ya kimbari

    Apr 20, 2019 22:11

    New Zealand imekuwa nchi ya kwanza duniani kuikabidhi Rwanda nyaraka zinazohusiana na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

  • Rwanda yawaenzi waliouawa katika mauaji ya kimbari robo karne iliyopita

    Rwanda yawaenzi waliouawa katika mauaji ya kimbari robo karne iliyopita

    Apr 07, 2019 10:30

    Wananchi wa Rwanda leo wamekusanyika kuwaenzi Watutsi 800,000 na Wahutu wenye misimamo ya wastani waliouawa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyojiri katika kipindi cha miezi mitatu miaka 25 iliyopita.

  • Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Apr 06, 2019 21:57

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameipatia kamisheni moja ya nchi hiyo jukumu la kufuatilia iwapo Paris ilikuwa na nafasi katika mauaji ya halaiki ya muongo wa 90 nchini Rwanda au la.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS