-
Usalama wa chakula nchini Rwanda hatarini+SAUTI
Feb 21, 2019 13:08Wizara ya Kilimo nchini Rwanda imesema ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita eneo la ardhi kwa ajili ya kilimo lilipungua kutokana na kasi ya ujenzi wa makazi ya raia.
-
Kagame: Hata kama Rwanda isingekuwepo, Burundi ingelikuwa na matatizo tu
Feb 21, 2019 12:07Rais Paul Kagame wa Rwanda amevunja kimya chake na kuzungumzia uhasama wa miaka kadhaa sasa kati ya nchi yake na Burundi, huku akisisitiza kuwa mvutano huo sio mkubwa kiasi ambacho serikali ya Bujumbura inataka uonekane.
-
SAUTI, Serikali za Kiafrika zimetakiwa kuacha kutoa maneno matupu bali zifanye vitendo kulinda mazingira
Feb 15, 2019 13:07Serikali za mataifa mbalimbali ya Afrika zimetakiwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha kwenye bajeti zao, ili kukomesha tatizo la uharibifu wa mazingira ambalo linaendelea kuongezeka barani humo.
-
Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda
Feb 07, 2019 19:08Shirika la Ujasusi la Ufaransa DGSE lilikuwa na taarifa za kiitelijensia kuhusu njama ya mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.
-
Jeshi la Rwanda laua wapiganaji wanne wa kundi la FDRL
Dec 11, 2018 04:42Jeshi la Rwanda limesema askari wake wamekabiliana vikali na wapiganaji wa kundi la waasi wa FDLR waliojipenyeza nchini humo wakitokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kiongozi wa upinzani Rwanda: Mashinikizo hayataninyamazisha
Dec 05, 2018 12:59Mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa Rwanda Diane Shima Rwigara amesema katu hatasalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho dhidi yake.
-
WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC
Nov 30, 2018 01:03Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.
-
Rwanda yasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Nov 15, 2018 00:02Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Richard Sezibera amepongeza uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kupanuliwa uhusiano huo katika nyuga mbalimbali.
-
Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti
Nov 06, 2018 03:28Bunge la Afrika limekamilisha vikao vyake vya wiki mbili mjini Kigali Rwanda kwa kuanzisha tunzo maalumu ya uongozi bora barani Afrika kwa hisani ya hayati Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi...
-
Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Oct 26, 2018 04:45Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.